kufuatia kitendo cha shirika la kupunguza umaskini la marekani MCC kukataa kutoa dola za kimarekani milion 450 basi mwezi huu JPM na CCM yake watakuwa wametutia hasara ya shs bil 900. kikwazo kikubwa cha kutopatikana kwa fedha ni mgogoro mkubwa wa kisiasa huko zanzibar ambao umesababishwa na chama cha mapinduzi, CCM kwa kitendo chake cha kukataa kushindwa uchaguzi na kungangania kubaki madarakani kinyume na katiba ya zanzibar 28(2). Rais maghufuli ameonyesha udhaifu mkubwa katika kutatua mgogoro huu ambao umeanzishwa na chama chake hasa kwa kitendo chake cha kujiweka pembeni huku akijua wazi kuwa mgogoro unamuitaji yeye mwenyewe kuliko kiongozi yeyote yule na kitendo cha kushindwa kushugulikia mgogoro huu fake ndani ya miezi miwili ndio kimetupelekea kuzikosa fedha hizi kwa kitendo chake cha kuweka mbele maslai ya chama badala ya nchi kwenye sakata hili kimetukosesha fungu kubwa ambalo lingeweza kutusaidia kupunguza umaskini.
in my opinion kama endapo atafanikiwa kukusanya shs 1.3T mwezi huu which is very Good news basi ukiondoa hasara ya bil900 iliyosababishwa naye na chama chake CCM basi atakuwa amekusanya shs.bilion 400 tu kihualisia.