PSPF shamba la bibi serikali wamekomba hela zote na wataendelea kuzikomba. Bora PPF au LAPF,GEPFNadhani PSPF ni bora kuliko wote.
Mm niko PPF najuta kujiunga nao. Ndio mfuko wa mwisho kwa formula ya kustaafu. Ni mfuko ambao matangazo au mafao au promosheni zake hazimugusi moja kwa moja member wake alieko hai (Mf, LAPF wana mafao ya uzazi, Mikopo ya Elimu, Nyumba/Viwanja -PPF wao wanazurura tu na sifa za kuwa muandaaji bora wa Hesabu).PSPF shamba la bibi serikali wamekomba hela zote na wataendelea kuzikomba. Bora PPF au LAPF,GEPF
Bora umejileta kupokea mnapenda mbona kutoa fedha za watu hawataki kwa nini huduma nzuri inatafsiriwa upande wote si kujiuza na vitu vya uongo.Miaka 55 wanaijua hawa ama wanaskia?Mleta mada, hii mifuko yote tu kwa sasa inatoa mafao kwa formula moja. Ingawa kuna baadhi ipo vizuri zaidi ya mengine kwenye upande wa haraka za huduma kwa wateja. Mfano PPF. Na kuthibitisha hili, kwenye maonyesho ya sabasaba, PPF ndio imechukua tuzo ya mshindi wa kwanza kwenye kundi la mifuko ya kijamii. Hii pekee inatosha kukushawishi kuwa PPF ni mfuko bora zaidi.
Ningekua na uwezo nisingejiunga any mfuko bora nisave fedha zangu zenyewe kwa jasho langu uzee mwisho chalinze maana najua uzee wangu hauwahusu shwainHabari zenu wanajamvi.
Kwa wenye uelewa kuhusu hii mifuko ya mafao, ndio mara yangu ya kwanza nataka kujiunga na hizi Pension fund organisations.
Je ni mfuko upo una mafao na taratibu nzuri?