WAHEED SUDAY umesababisha nami niangue kicheko kiukweli fisi anachekeshaHa ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah, sijui kwa nini huwa nikimuona fisi namcheka
MziziMkavu, umetoka wapi na huo usafiri? Mwaka huu wa uchaguzi usipojenga na kuongeza mke, baaasssss!
Nyama yake imeshaanza kupendwa na kuliwa na wenyewe....
View attachment 219848
Increasing consumption of hyena meat in Kismayo
Duuu hawa wasomali sasa wamezidi
Mmmh naweza kujaribu vyote lakini nyama ya fisi lol! Hapana aisee
Sijui unaanzaje kuila..du!....ila mambo huwa yanaanza taratibu hivihivi mpaka tunayazoea...na tulivyowanjaza wachina nchi hii si ajabu mijusi, vyura, nyoka vikaanza kuwa nyama choma.....