Real Patriotist
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 296
- 698
Unataka kusema kwamba ''Ona sasa na hata anaweza akaonya na akasamehe''... Si ndio mkuu ?Huu ni mwendelezo wa mabadiliko Chanya kwa rais Magufuli. Kila siku nawaeleza watu humu kuwa this man is changing for the better.
P
PHuu ni mwendelezo wa mabadiliko Chanya kwa rais Magufuli. Kila siku nawaeleza watu humu kuwa this man is changing for the better.
Ule Utumbuaji wa papara sasa basi.
Je, inawezekana huu ndio mwisho wa utumbuaji wa papara na kukurupuka?! Mkuu kutumbuliwa soon!
P
Mkuu daraja linalounganisha mikoa ya Morogoro na Dodoma linawezaje kupitisha mizigo inayokwenda Malawi na Zambia ?
Huu ni mwendelezo wa mabadiliko Chanya kwa rais Magufuli. Kila siku nawaeleza watu humu kuwa this man is changing for the better.
Ule Utumbuaji wa papara sasa basi.
Je, inawezekana huu ndio mwisho wa utumbuaji wa papara na kukurupuka?! Mkuu kutumbuliwa soon!
P
Hata mimi nimejiuliza sana nikasema ngoja nikae kimwa labda geography yangu ni ndogo sanaMkuu daraja linalounganisha mikoa ya Morogoro na Dodoma linawezaje kupitisha mizigo inayokwenda Malawi na Zambia ?
Sio kila sehemu anatumbuaHuu ni mwendelezo wa mabadiliko Chanya kwa rais Magufuli. Kila siku nawaeleza watu humu kuwa this man is changing for the better.
Ule Utumbuaji wa papara sasa basi.
Je, inawezekana huu ndio mwisho wa utumbuaji wa papara na kukurupuka?! Mkuu kutumbuliwa soon!
P
Kutumbua hio wizara hapo ni sawa na kutumbua bashite,hapi,chalamila,mnyeti,muro au sabaya.Dabo standardTuwashukuru sana wapinzani kwa kukemea hiyo tabia ingawa walionekana wana mkosea heshima
In God we Trust
Zimwi likujualoKwa hiyo urafiki kazini umemfanya mheshimiwa ashindwe kuchukua maamuzi magumu...Mfugale amemwokoa Waziri na Meneja TANROADS Morogoro.
Hiyo ndio raha ya connection Sasa unawaokoa hadi wana.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu paskal hivi leo nikuulize mbele ya hadhara ya JfHuu ni mwendelezo wa mabadiliko Chanya kwa rais Magufuli. Kila siku nawaeleza watu humu kuwa this man is changing for the better.
Ule Utumbuaji wa papara sasa basi.
Je, inawezekana huu ndio mwisho wa utumbuaji wa papara na kukurupuka?! Mkuu kutumbuliwa soon!
P
He is changing for the better ndio maana hata ujenzi na usimamizi wa airports umeondolewa kutoka TAA na kwenda Tanroads ili apige hela vizuri na rafiki yake Mfwagale kupitia Ma.yanga Constru..Huu ni mwendelezo wa mabadiliko Chanya kwa rais Magufuli. Kila siku nawaeleza watu humu kuwa this man is changing for the better.
Ule Utumbuaji wa papara sasa basi.
Je, inawezekana huu ndio mwisho wa utumbuaji wa papara na kukurupuka?! Mkuu kutumbuliwa soon!
P
Mmmmmhh mpaka magari ya Zambia na Malawi yanapitia hapo?Kilichotokea muda mfupi katika ukaguzi wa rais kwenye kalavati la Kayegeya linalounganisha barabara ya Morogoro na Dodoma ambalo hivi siku za karibuni limekwenda na maji hivyo kupelekea serikali kuagiza kutengenezwa daraja eneo hilo.
Kwa kweli usumbufu kwa wasafiri na wasafarishaji wa mizigo umekuwa ni mkubwa sana ukizingatia hiyo ni barabara kuu inayopitisha abiria na mizigo mingi ya ndani na nje ya nchi kwa majirani zetu kama vile Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia, Malawi n.k
Leo Mh. Rais Magufuli akipita maeneo hayo amekagua ujenzi unaoendelea hapo wa daraja ambalo nalo lilienda na maji. Rais amekasirishwa sana na maelezo aliyokuwa anapewa na watendaji wake akiwemo Waziri wa ujenzi na uchukuzi ambaye amekiri makosa na kuomba msamaha wa wazi kwa rais.
Kufuatia hali ya watendaji wale wa Wizara na TANROADS kutokuwa na majibu ya kumridhisha rais, binafsi nimemuona rais akitafakari kwa kina kuona ni hatua gani stahiki ambayo angeweza kuchukua dhidi ya watendaji hao.
Ametafakari kwa muda alipokosa cha kuamua ikabidi auze mchezo kwa wananchi waamue nini afanye ambapo wananchi wamesema awasamehe tu, ila mheshimiwa rais ameagiza kusimamishwa kazi wahandisi takribani 13 wa TANROADS na uchunguzi ufanyike dhidi yao.
Kwa muonekano aliokuwa nao rais alitaka kumtumbua waziri na safu ya maofisa wa TANROADS hasa meneja wa mkoa wa Morogoro lakini akaona anaweza kumtumbua waziri na akamuacha CE wa TANROADS ambaye yeye mwenyewe amekiri laivu ni kutokana na kuguswa na kazi zake anazozifanya zinamkosha.
Kwa Leo ni hilo tu limemuokoa Eng. Kamwelwe kutumbuliwa lakini pia tukumbuke mahusiano makubwa yaliyopo kati ya boss huyo wa TANROADS na Rais pasi na shaka ndio yameathiri maamuzi ya mheshimiwa rais hivyo kuishia kutoa onyo kwa Mfugale na Kamwelwe.
Sent using Jamii Forums mobile app