Wadau niko njiani kuelekea jijini Mbeya. Sijui nifikie hotel gani yenye usalama kwani katika kuulizia nimeelekezwa Mfikemo hotel iliyopo Mwanjelwa.
Je, ni kweli iko kwenye mitaa salama?
hii imechoka sana japo ipo katikati ya mji. lift valley nayo choka. kwa mjini ni hill view,ikifuatia peace of mind na labda mount livingstone.Nenda Mbeya Peak hotel
... Bei ni nzuri ni safi na wahudumu ni wanyenyekevu sn.
Hii iko maeneo gani Mkuu?
Kuna moja(cikumbuki jina) ina tangazo kuwa mkiwa jinc 2 tofauti cheti cha ndoa ni lazima ni lazima. Hii ipo Mbalizi Rd
hii imechoka sana japo ipo katikati ya mji. lift valley nayo choka. kwa mjini ni hill view,ikifuatia peace of mind na labda mount livingstone.
Duh soweto kulikuwa na Jambazi mmja alikuwa anaitwa jombi alikuwa na garage mitaa hyo
Kaa huko ni Mwanjelwa na ikombali sana na barabara kuu mpaka ufike huko utakuwa umekabwa njiani,mbona pale Soweto kuna Hotel /Guest house nzuri tu kwa TZS 20000-TZS 30000Wadau niko njiani kuelekea jijini Mbeya. Sijui nifikie hotel gani yenye usalama kwani katika kuulizia nimeelekezwa Mfikemo hotel iliyopo Mwanjelwa.
Je, ni kweli iko kwenye mitaa salama?
Jombi yule jambazi wa magari wa miaka ya 90?
Mbona alikamatwa na kufungwa au alitolewa jela?
Duh soweto kulikuwa na Jambazi mmja alikuwa anaitwa jombi alikuwa na garage mitaa hyo
Beaco na hill view zipo poa sana
Kweli alikuwa mtemi sana ila udogoni nlipokuwa mbeya nakumbuka kuna gari moja nlikuwa naifanyia kazi ya kukusanya hela wakati ule chai maharage, hyo gari ilienda garage kwake jamaa wali bad ilishaga starter ya hyo chai maharage mwenye gari alikuwa mtata naye so wakaleteana na jombi ah jombi alikuja kutuliaa hahahahaUmenikumbusha mbali sana mkuu huyo jamaa enzi tunakua alikuwa mtu hatari sana kila mtu alikuwa anamuogopa aiseee lakini nilisikia kuwa amekuwa mtumishi wa Mungu ameachana na mambo hayo.
MANYANYA HOTEL ,forest mpya(AZAM FC hufikiaga hapa)..
MKULU HOTEL,mama john(ipo barabarani kabsa)..
GOLDEN CITY,sai(hii ipo karibu na kituo cha mabasi cha nanenane,sikuhizi usiposhuka nanenane ni hadi s/kuu)..
HILL VIEW,uzunguni(kama una pesa mingi nenda hapa)..
MFIKEMO HOTEL ni kama LOGDE tu nashangaa kwanini inaitwa HOTEL,after all haipo mwanjelwa ipo Makunguru mtaa unaosifika kwa vibaka..