kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 153
- 272
Maisha bana, jamaa hana usingizi sababu hana kazi. Mimi kazi hiyo hiyo imenipa majanga sina usingizi. π€£Hata ukipata kazi hutopata usingizi pia, umeona mimi hapa nipo kkoo muda huu tuna panga mzigo na vijana..!!
Wewe tulia endelea kupambana..!!
Ila Kazi za ICT zinatakiwa kuwa regulated maana Saizi ishakuwa hovyo hovyoNi Siku ya nne sasa, mawazo yamejaa kichwani, usingizi hauji, kichwa kinauma. Nakaa hadi saa nane bila usingizi.. mawazo sana.
Wanasema, kuna umri ukishafika, kauli ya "I am from a poor background " inapotea, na wewe ndiye unayekuwa "background" I have tried and still trying to substantiate it, lakini mazingira bado yanakataa..
Nimejaribu kuomba nafasi ajira portal lakini sijafanikiwa kuitwa interview hata moja pamoja na kwamba vigezo vipo. I can't blame labda wakati wangu bado.
Nimefanya kazi na kampuni moja lakini mkataba ulipoisha, hatukuafikiana vizuri kuRenew mkataba.
I have two years of working experience as an ICT trainer/consultant upande wa software Development Life cycle. (From analysing -> Design-> ...... Development amd deployment) and ready to work with any institution/company as a trainer or as a software developer respectively.
Niishie hapa, lakini wakuu, usingizi hauji. Nikiangalia walioko nyuma yangu, aisee ...
Muwe na usiku mwema...
Kila kitu na ugumu wake..!! πΉMaisha bana, jamaa hana usingizi sababu hana kazi. Mimi kazi hiyo hiyo imenipa majanga sina usingizi. π€£
Nimejaribu kuomba nafasi ajira portal lakini sijafanikiwa kuitwa interview hata moja pamoja na kwamba vigezo vipo. I can't blame labda wakati wangu bado.
One day yes, hata Roma haikujengwa kwa siku mojaNi Siku ya nne sasa, mawazo yamejaa kichwani, usingizi hauji, kichwa kinauma. Nakaa hadi saa nane bila usingizi.. mawazo sana.
Wanasema, kuna umri ukishafika, kauli ya "I am from a poor background " inapotea, na wewe ndiye unayekuwa "background" I have tried and still trying to substantiate it, lakini mazingira bado yanakataa..
Nimejaribu kuomba nafasi ajira portal lakini sijafanikiwa kuitwa interview hata moja pamoja na kwamba vigezo vipo. I can't blame labda wakati wangu bado.
Nimefanya kazi na kampuni moja lakini mkataba ulipoisha, hatukuafikiana vizuri kuRenew mkataba.
I have two years of working experience as an ICT trainer/consultant upande wa software Development Life cycle. (From analysing -> Design-> ...... Development amd deployment) and ready to work with any institution/company as a trainer or as a software developer respectively.
Niishie hapa, lakini wakuu, usingizi hauji. Nikiangalia walioko nyuma yangu, aisee ...
Muwe na usiku mwema...
Na mimi namuongezea dili moja la hela ya kula. Atengeneze mfumo wa kumanage supermarket. Au-equip na kila kitu, mpaka kuscan barcode (sio kazi ngumu, atumie cloud za ERP zipo nyingi).Angalia namna ambavyo unaweza kujiajiri kupitia unachokifahamu nadhani ukiwa na subra unaweza pata mbili tatu
Unaweza kutengeneza website??? Nikupe Kazi ndogo yoyote upate hela ya bundle
Dah mimi nipo lindo hapa getini kwa mtu usingizi hata siupati.Hata ukipata kazi hutopata usingizi pia, umeona mimi hapa nipo kkoo muda huu tuna panga mzigo na vijana..!!
Wewe tulia endelea kupambana..!!
Wanasema, kuna umri ukishafika, kauli ya "I am from a poor background " inapotea, na wewe ndiye unayekuwa "background"
I can't blame labda wakati wangu bado.
Hv kuanzia saa tano usiku na kuendelea Kuna kundi kubwa la watu kuona ni daladala za kwenda kariakoo na zina watu kiasi Huwa nawaza π€Hata ukipata kazi hutopata usingizi pia, umeona mimi hapa nipo kkoo muda huu tuna panga mzigo na vijana..!!
Wewe tulia endelea kupambana..!!
Mkuu nimekutumia message inbox.Angalia namna ambavyo unaweza kujiajiri kupitia unachokifahamu nadhani ukiwa na subra unaweza pata mbili tatu
Unaweza kutengeneza website??? Nikupe Kazi ndogo yoyote upate hela ya bundle
Changamoto za google?Mkuu nimekutumia message inbox.
hata hivyo, Ndiyo naweza kutengeneza websites, internal systems na hata mobile applications. 0687516723
natatua mkuuChangamoto za google?