Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,875
- 55,750
basi sawa.mpaka jioni mwenzio atakuwa keshafika.
Wewe nae! Una haraka kuzidi upesi, ona sasa umeniharibia, sichelewi kubadili mawazo na kuelekea njia ya nyumbani kwako ujue
go on...We mtoto umeomba ruhusa kwa wazazi? make hujui hata kuhifadhi hela acha wakubwa tumfate tukamhudumie,
Umeniudhi bhana, we daktari gani hata vpmo hujachukua umekandamiza tu dozi, siku nyingine uwe na subra bhana
sawa mwenyekiti, ila tambua ufisadi sio mpaka uibe mali ya Umma.Wewe endelea kulala na hela mie ndo naingia hapa kwa amu
Kwani hadi uone maluweluwe!? Nataka nije unifundishe TIBA MBADILIKO
Misha fika nimemaliza kumpa doz, maziwa nitayanwa mimi ili nimtengenezee doz nyingine chezea Mapolomoko. akiamkatu naendelea kumpolomoshea doz
Misha fika nimemaliza kumpa doz, maziwa nitayanwa mimi ili nimtengenezee doz nyingine chezea Mapolomoko. akiamkatu naendelea kumpolomoshea doz
usisahau kuja na pen ya kuandikia daftari ninalo huku
najua hutaishia kuzilinda tu ila na kuzitumia pia, either kwa yeye kupenda ama kutokupendaUnataka kusema hata kulinda MALI za amu ni ufisadi???
amu best umesha poromoshewa na Mapolomoko?
najua hutaishia kuzilinda tu ila na kuzitumia pia, either kwa yeye kupenda ama kutokupenda
mkuu mi sina tatizoNdo marupurupu ya hizi kazi zetu mkuu,usijali sana
Pen siwezi iacha nikute tu umeshaandaa DAFTARI lako hilo nije nichore watoto kwa wino mweupe