mficha maradhi.....

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,171
Reaction score
31,357
Mwenzenu nipo rum peke yangu najitishajeeeeee!!!naogopajeeeee!!!
Tokea saa 8 natetemeka naona vitu vinatembea tu.
 
Hahaha...! Kwahiyo maradhi gani umeyaficha yanayokufanya ujiogopeshe mwenyewe?
 
meza piriton 8 sasahivi utalala usingizi mwanana na wa milele wala hayo maluweluwe huto yaona wala kuyasikia tena shost

sasa nitatoa wapi mda huu?
Lo ningekuwa nazo ningemeza.
WE DAKTARI NRUSHIE KWA BLUTUTHI bana
 
Mwenzenu nipo rum peke yangu najitishajeeeeee!!!naogopajeeeee!!!
Tokea saa 8 natetemeka naona vitu vinatembea tu.

Mie ndo nimekabidhi lindo muda si mrefu kama vp ni PM nije niku BODY GUARD hata partytime, taabu ya nini?
 
umechelewa mkubwa nimeshampa piriton za kutosha mpaka ufike huko utamkuta ameshazima.
 
ha ha pole na baridi kijana maana kibaridi hiki.
I salute you in the name of kukesha.....
 
Wewe nae! Una haraka kuzidi upesi, ona sasa umeniharibia, sichelewi kubadili mawazo na kuelekea njia ya nyumbani kwako ujue
 
ha ha pole na baridi kijana maana kibaridi hiki.
I salute you in the name of kukesha.....

Nimekutumia maziwa kwa pm, neutralize dawa ili nije nikuprotekti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…