Mfanye Mungu kuwa wa kwanza

Mfanye Mungu kuwa wa kwanza

gx_nation

Member
Joined
Dec 3, 2022
Posts
32
Reaction score
56
Ikiwa mwanamke anaweza kumsahau mtoto wake anyonyae hata asimuhurumie, je, wewe ni nani mpaka asikugeuke, wanaume tunapoambiwa tuishi na wanawake kwa akili nyingi basi tuangalie ni nani muasisi wa maarifa yenye akili nyingi?

Visa vingi vya watu kuua na kujiua kisa mahusiano vingeepukika ikiwa watu wangekua na hofu ya mungu kwa kumfanya mungu awe wakwanza ktk maisha yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom