QUONSIOUS BOY
Member
- May 18, 2014
- 33
- 0
Wana Jf naomben niwaeleze kinacho nisibu, kila nuludipo nyumban kwanu huja mfanyakaz wangu ili kunitengea chakula lakin kila ajapo hua amevaa kanga moja tu bila ya nguo nyingine ya ndani wakati huo mke wangu yupo kazini kwake, wakat mwingine mfanyakaz huyo hua anafikia hata atua ya kunikaribisha bafuni tukaoge .msaada tafadhali