Mfanyakazi wa Stationary anahitajika

Mfanyakazi wa Stationary anahitajika

Grader

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
445
Reaction score
65
Nahitaji mfanyakazi wa stationary, sifa ...awe anaweza kutaipu vizuri,kutengeneza kadi,kuprint,Kutoa photocopy,kuweza kuhudumia Mitandao yote ya huduma ya fedha kama Airtel money,tigopesa,Mpesa,Selcom machine,Maxmalipo,kuuza vitu mbalimbali vya shule,scanning,kupiga picha,lamination,binding,n
K.
Office ipo buguruni - dar.
Reasonable salary for right personal. Aliye karibu na Buguruni atapewa kipaumbele sana.
 
Aliye seriously tuwasiliane kupitia +255789223485/652370498
 
Hii siyo tetesi, ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania
 
Je kama mtu anajuwa kutaipu,kutoa photocopy, kuprint na lamination vingine hajui inakuwaje au ndo kakosa ajira
 
Mkuu ambaye hana uzoefu umtaki, ila ni mwaminifu sana...
 
Sio mambo ya cheap labour kweli...why wa karibu apewe kipaumbele....
 
Je mshahara shilling ngapi na je kazi zote hizo mtu mmoja au?
Buguruni maeneo gani ni PM
 
Nahitaji mfanyakazi wa stationary, sifa ...awe anaweza kutaipu vizuri,kutengeneza kadi,kuprint,Kutoa photocopy,kuweza kuhudumia Mitandao yote ya huduma ya fedha kama Airtel money,tigopesa,Mpesa,Selcom machine,Maxmalipo,kuuza vitu mbalimbali vya shule,scanning,kupiga picha,lamination,binding,n
K.
Office ipo buguruni - dar.
Reasonable salary for right personal. Aliye karibu na Buguruni atapewa kipaumbele sana.

Mmmmmmh! Mimi Wangu Yupo Kyaka Nkunde Naona Hatoweza Na Hatowahi Pia Kufika.
 
hawezi kufundishwa hayo mengine jaman? mbona huduma nyingi sana? angalia ya msingi basi.
 
Back
Top Bottom