Mfanyakazi wa ndani anaitajika.

jijayetu

JF-Expert Member
Jul 15, 2016
727
561
Salam wadau.

Ninahitaji mfanyakaz wa ndani (house girl).
Awe anajua kusoma na kuandika
Asiwe na mtoto
Awe na umri kuanzia miaka 20
Awe ni mkaazi wa dalsam (siyo lazima sana).

Asanteni.

Kama una ndg yako njoo pm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom