Mfanyakazi wa Lake Oil amwaga machozi baada ya kupoteza Kazi kutokana na Kituo hicho Kuchomwa Moto kufuatia maandamano oktoba 29

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Sada Alfani, Mfanyakazi wa Kampuni ya Kuuza Mafuta ya Lake Oil amejikuta akimwaga Machozi mara baada ya kupoteza Kazi kutokana na Kituo hicho Kuchomwa Moto kufuatia Vurugu za Oktoba 29.

Sada amesema Kazi hiyo alikuwa anaitegemea kwa ajili ya kuisaidia familia yake kwakuwa yeye ni Mama na anasomesha kwa Kazi hiyo.

Watu wamekufa Dada. Punguza unafiki
 
Anayewatuma, anayelipia na kuandaa hizi sinema zao hasaidii chochote. Hakuna kitu kinachoweza kuhalalisha mauaji ya hata mtu mmoja tu.

Katika nchi inayofuata misingi ya sheria na utawala bora, ni hukumu ya mahakama pekee ndio inayoweza kuhalalisha kifo cha mtu baada ya kukutwa na hatia ya mauaji.

Enyi wahusika, msipoteze muda, tubuni, mmemkosea Mungu kwa kufanya unyama na unyang'anyi wa pumzi. Hasira ya Mungu itaanza kuwaka juu yenu na mtashangaa.

Hakuna mtu anayeunga mkono watu kuharibu mali za wengine, tunafahamu uchungu wa kutafuta mali, lakini hatuwezi kujificha kwenye hicho kichaka tukapuuza uhai wa binadamu wenzetu.
 
Hio ni collateral damage,awe mtulivu,Huyo Eliezer anaewapambania kwanini asikarabati?
Hivi hawalipwi bima haya makampuni?
 
Sada Alfani, Mfanyakazi wa Kampuni ya Kuuza Mafuta ya Lake Oil amejikuta akimwaga Machozi mara baada ya kupoteza Kazi kutokana na Kituo hicho Kuchomwa Moto kufuatia Vurugu za Oktoba 29.

Sada amesema Kazi hiyo alikuwa anaitegemea kwa ajili ya kuisaidia familia yake kwakuwa yeye ni Mama na anasomesha kwa Kazi hiyo.

WAMLAUMU kIKWETE NA GENGE LAKE
 
20251111_130132.jpg
 
Hizi ni propaganda za watuhumiwa wa ICC ili kujustify mauaji yao
Huwezi kuta media zinahoji familia zilizopoteza watu
 
collateral damage, mapambano yanaendelea na aje ajiunge na upande wa maandamano, ni upande Mungu against evil, its good against evil ...
 
Back
Top Bottom