Mfanyakazi wa kuuza Duka la electronics anahitajika Kahama mjini

Mfanyakazi wa kuuza Duka la electronics anahitajika Kahama mjini

IsaacMG

Member
Joined
Dec 6, 2019
Posts
91
Reaction score
124
Habari wadau. Nahitaji binti mwenye uzoefu na KAZI ya kuuza VIFAA VYA ELECTRONICS.
ENEO LA kazi ni Kahama.

Sifa
Umri kuanzia 18 _ 30
Ajue kusoma na kuandika

Awe na mdhamini mwenye Mali isiyohamishika.
Awe mwaminifu.

Awe mchangamfu na mwenye kauli nzuri Kwa wateja.
Mshahara maelewano

Mwenye sifa hapo juu nitafute 0758161628
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom