Mfanyakazi wa kike wa GGM ashikiliwa na Polisi kwa kumvisha Pete Mwanamke mwenzake

mdogo wake naibu waziri yule mwanadada aliyekuwa chadema,aliyesema siku ya kuteuliwa kwamba kama bado ningekuwa chadema ningekuwa kimada wa mbowe,mdogo wake ndo huyo anayesagwa na hilo dada
Kwa hiyo hapa ndio umeona umepata njia ya kuhihusisha chadema na hii issue...kwa hiyo juliana sasa anajulika zaidi kama yule mwanadada aliyekuwa chadema na wala sio waziri kwenye serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania kutoka chama cha mapinduzi?!
 
Hiyo sio mila ya wasukuma, rudi kafanye research upya.......ni mila ya kabila moja huku kanda ya ziwa lkn si wasukuma
Mi naishi unyantuzuni huku, na kama ulisikia siku chache nyuma kuna mmama kakatwakatwa mapanga, hisia za awali na hata waloshukiwa na kukamatwa ni pamoja na yule mwanaume aliyemkabidhi mke wake amzalishie.
 
Tabia ya wanawake kusagana huko usukumani hsipo. Ninachokijua ni kwamba siku hizi kwa wanaume wa kisukuma imekua fasheni kugongana wao kwa wao.
Labda kwa sababu wasukuma ni wazee wa mafasheni hivyo wamelichukua hili kama moja ya hizo fasheni lakini wanawake hapana...nakataa hawana tabia hizo. Anzia Shinyanga hadi Mwanza, hadi wale watoto wa mitaani ndiyo inasikitisha zaidi.
Nadhani wazee wa mafasheni inabidi wajitafakari katika hili
 
Kama sikosei, Milembe ni jina la kisukuma, kama ni sawa, basi Watakuwa wamejichanganya, wasukuma wanawake wana mila yao inayoruhusu kuoa mwanamke, Halafu anamkabidhi yeyote ampendae, anamzalia watoto, haswa kama atakuwa hana uzazi yeye.
Hahaha...I know that woman very well, tumewahi kuwa na uhusiano wa karibu miaka ya 2011-2012 nikiwa na kazi fulani maalum kule, by then alikuwa akiishi nyuma ya night club maarufu kwa kipindi kile ikiitwa Ambassador, by then nakumbuka mtoto wake alikuwa std 1 ka sikosei na alikuwa akiishi na wadada wawili kama wake zake though alikuwa mgongwaji mzuri tu pia.
 
Back
Top Bottom