Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,610
sasa hapo utakuwa umemkomoa nini nawe kingasti?ukoo tu? ama angetumia weapons of mass destruction hadi sie wa bunju tukome! ningekuwa mkewe huyo, adhabu yake kwanza hicho kinyumba alichojenga nampa mke wa mhanga buree, na pensheni yake naolea serengeti boy huku nikichekecha akili how did i end up with such a fool coward man! kha!