Mfanyakazi ni nani?

Subiri wanakujaa kukupa muongozo.
 
Tuanze na kazi yenyewe kwanza ndio tutajua mfanyakazi ni nani.
 
Historia ya siku ya wafanyakazi duniani ilikuwa ni siku ya kuhamasisha wafanyakazi kudai haki zao

Siku hizi imekuwa siku ya wanasiasa kuwadanganya na kuwapanga wafanyakazi
 
mei mosi naona kwa watumishi wa serikari sana sekta binafasi mbona hawa shobokei mei mos
 
Sikukuu ya waliofungwa kifikra..
 
Nimepata cheque number tarehe 25 mwezi wa tano 2025, je mwezi huu nitapata mshahara wangu? Wakuu msaada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…