Mumlii JF-Expert Member Joined Mar 14, 2021 Posts 266 Reaction score 364 Jul 9, 2025 #1 Habari mm nko ushirombo_ Geita, nahitaji tufanye biashara na mtu ambaye anafanya biashara ya hzi samaki, huwa natembea minadan. Akiwepo kahama, ama maaumbwe
Habari mm nko ushirombo_ Geita, nahitaji tufanye biashara na mtu ambaye anafanya biashara ya hzi samaki, huwa natembea minadan. Akiwepo kahama, ama maaumbwe
Iam back_Euphoria JF-Expert Member Joined Sep 17, 2024 Posts 366 Reaction score 1,114 Jul 9, 2025 #2 Nyuzi kama hizi ni ngumu sana kupata wachangiaji, sijui kwanini. Mbaya zaidi mida mibovu hii ila usiwaze mkuu
Nyuzi kama hizi ni ngumu sana kupata wachangiaji, sijui kwanini. Mbaya zaidi mida mibovu hii ila usiwaze mkuu
M Monosex JF-Expert Member Joined Jun 10, 2017 Posts 949 Reaction score 1,739 Jul 9, 2025 #3 Hata Eyasi Karatu, kuna samaki wa aina hiyo, wa kupeleka minadani.
issac77 JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 5,805 Reaction score 12,598 Jul 9, 2025 #4 Unauza jumla ama unatafuta muuzaji akuuzie?
Nakfa JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 11,332 Reaction score 15,055 Jul 9, 2025 #5 Nawasanua wanangu wa dolomoni
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,086 Reaction score 62,002 Jul 9, 2025 #6 Itakuwa wengi wameamia kwenye kula majani
Ambitious Joh Senior Member Joined Mar 20, 2023 Posts 190 Reaction score 463 Jul 9, 2025 #7 Maan yake unataka kununua kwa bei ya jumla?