Mfanyabiashara wa madini Venence Mushi kortini Arusha

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
752
1,810
]Mfanya biashara maarufu wa madini jijini Arusha, Venance Mushi (30) maarufu kwa jina la sullu, amefikishwa Mahakamani na kusomewa maelezo ya awali katika kesi inayomkabili ya kushambulia na kumjeruhi mkewe kwa glassi usoni ,wakiwa wanasuluhishwa na wadhamini wa ndoa yao.<br /><br />Mbele ya hakimu , Devota Msofe wa mahakama ya wilaya .Arusha ,mwendesha mashtaka wa serikali ,Agnesi Hyera alieleza mahakama hiyo kuwa mnamo marchi 11 mwaka 2016 katika maeneo ya Moshono kwenye usuluhishi wa mgogoro wa ndoa yao ,mshtakiwa alinyanyua glasi na kumpiga kwenye jicho la kulia mlalamikaji (mkewe) Agnesi Joseph (30)iliomjeruhi vibaya .<br />
94e6fd630c79b3a385e75d2b6dd5fa1f.jpg
24f65477de160f0e21efe7d58340ee3e.jpg
[/QUOTE]<br />Nilisikia mahali familia nzuri ni ile Baba kamzidi mke umri, urefu na kipato; sasa hawa marika wanaoana si lazima watakuwa wanashikana huko ndani? Mke hawezi mwamkia mumeo shikamoo maana wanalingana kiumri na isitoshe yeye ni mrefuko kuliko mumewe
 
Back
Top Bottom