Mwanaginingi JF-Expert Member Joined Jul 5, 2014 Posts 464 Reaction score 400 Jun 1, 2019 #1 MSAADA TUTANI.....Nahitaji Mfanyabiashara Anayeuza Vitu vya Electronics Zanzibar kama Vile Camera,Simu,Tv!Anicheck DM
MSAADA TUTANI.....Nahitaji Mfanyabiashara Anayeuza Vitu vya Electronics Zanzibar kama Vile Camera,Simu,Tv!Anicheck DM
Job Richard JF-Expert Member Joined Feb 8, 2013 Posts 3,875 Reaction score 2,201 Jun 3, 2019 #2 utapata wezi Mkuu hii kitu inahitaji umakini kuna baadhi niliwapata wakaingia mitini sasa tupo kujitajidi kuifungua ofisi huko bara tunayo
utapata wezi Mkuu hii kitu inahitaji umakini kuna baadhi niliwapata wakaingia mitini sasa tupo kujitajidi kuifungua ofisi huko bara tunayo
C Cute shy JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 1,196 Reaction score 1,303 Jun 3, 2019 #3 Mwanaginingi said: MSAADA TUTANI.....Nahitaji Mfanyabiashara Anayeuza Vitu vya Electronics Zanzibar kama Vile Camera,Simu,Tv!Anicheck DM Click to expand... Nitumie no yako nikupe no ya mtu anafanya hiyo kazi
Mwanaginingi said: MSAADA TUTANI.....Nahitaji Mfanyabiashara Anayeuza Vitu vya Electronics Zanzibar kama Vile Camera,Simu,Tv!Anicheck DM Click to expand... Nitumie no yako nikupe no ya mtu anafanya hiyo kazi
Z Z Nyenza Member Joined Sep 22, 2013 Posts 77 Reaction score 29 Jun 3, 2019 #4 Job Richard said: utapata wezi Mkuu hii kitu inahitaji umakini kuna baadhi niliwapata wakaingia mitini sasa tupo kujitajidi kuifungua ofisi huko bara tunayo Click to expand... Nakutumia namb ayangu DM naomba na mm Unitmuie maana na shida na huko ndugu kuna vitu navihitaji sana.
Job Richard said: utapata wezi Mkuu hii kitu inahitaji umakini kuna baadhi niliwapata wakaingia mitini sasa tupo kujitajidi kuifungua ofisi huko bara tunayo Click to expand... Nakutumia namb ayangu DM naomba na mm Unitmuie maana na shida na huko ndugu kuna vitu navihitaji sana.
zmotion Member Joined Jun 2, 2019 Posts 10 Reaction score 0 Jun 3, 2019 #5 Mwanaginingi said: MSAADA TUTANI.....Nahitaji Mfanyabiashara Anayeuza Vitu vya Electronics Zanzibar kama Vile Camera,Simu,Tv!Anicheck DM Click to expand... NIPO ZANZIBAR NICHEK INBOX TUNA KAMPUNI UAMINIFU 100 %
Mwanaginingi said: MSAADA TUTANI.....Nahitaji Mfanyabiashara Anayeuza Vitu vya Electronics Zanzibar kama Vile Camera,Simu,Tv!Anicheck DM Click to expand... NIPO ZANZIBAR NICHEK INBOX TUNA KAMPUNI UAMINIFU 100 %