Mfanyabiashara Patrick Moshi, amwomba Rais Magufuli msaada

Mfanyabiashara Patrick Moshi, amwomba Rais Magufuli msaada

sawariya

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2015
Posts
388
Reaction score
359
Mfanyabiashara Patrick Moshi maarufu kwa jina la Patco aliekuwa anamiliki maduka lukuki pamoja na vituo vya mafuta katika jiji la Dar es Salaam amemwomba Rais Magufuli kuingilia kati mgogoro wake na taasisi moja ya fedha hapa nchini.

Akiongea na EFM jijini Dar es Salaam amesema mgogoro huo uliodumu kwa zaidi ya miaka mitatu umemsababishia hasara ya zaidi ya Bilioni 4 na pia amepata madhara ya kiafya ikiwemo kupata ugonjwa wa kiharusi. Amemuomba Rais kuingilia mgogoro huo ili aweze kupata haki yake.
 
Mina nakupendea hiki tu..huwa hupepesi..aibu sana dume zima kupiga mbinja utajiri wa mwanaume mwenzake..mm ht hawa wenye gari zao wakitumwagiaga maji road maskini naona sawa tu..utajiri unatafutwabkwa ngv kubwa sana na kujibana sana .anakuja ndezi pori anaandika ujinga!

ona uyu mjinga, na wewe elezea imekuaje ukawa fukara ilhali wanaume wenzio wana ela
 
Back
Top Bottom