Mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite mkoani Arusha na Manyara ashikiliwa na vyombo vya dola

buswelu moja

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
226
147
Mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite Arusha ashikiliwa na vyombo vya dola.

Mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha na Manyara, Mulla Oleshangiki anashikiliwa na vyombo vya dola kwa takribani wiki mbili mpaka sasa.

Mfanyabiashara huyo alishikiliwa jijini Arusha na vyombo vya dola baada ya taarifa kudai kwamba amekuwa akijihusisha na biashara hiyo ya madini huku akikwepa kulipa kodi serikalini.

Mfanyabiashara huyo ambaye amekuwa na urafiki wa karibu na baadhi ya vigogo wa serikali mkoani Arusha alishikiliwa wiki iliyopita na kisha kwenda kupekuliwa nyumbani kwake ambapo alikutwa na baadhi ya madini ya Vito ambayo hayajalipiwa kodi Serikalini.

Mara baada ya kupekuliwa alifikishwa katika kituo cha polisi kitengo cha Utalii na kisha kuhifadhiwa hapo kabla ya kuchukuliwa na task force na kisha kupelekwa jijini Dar es salaam kwa mahojiano zaidi.

Mulla amekuwa akifadhili Kwaya mbalimbali za dini mkoani Arusha lakini pia amekuwa miongoni mwa wafadhili wa klabu ya Gwambina FC inayomilikiwa na mkuu wa mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti.

Pia ni Miongoni mwa wadau wa maendeleo katika mkoa wa Manyara ambapo amefadhili ujenzi wa shule na visima vya maji.

Mwisho

. Pichani ni mfanyabiashara, Mulla Oleshangiki
Mulla%20Masai%20Nssf%2020190807_153839.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa, afikishwe kwenye vyombo vya haki ndani ya saa 24 au apewe dhamana, sio kumshikilia tu bila utaratibu
 
Wachaga mnakwama wapi jamani mbona kila dili la wizi mpo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Akili yako (kama unayo lakini) at best Ina matege. Umedanganywa na mungu wenu jiwe kuwa kila anaeishi mikoa ya kaskazini ni lazima awe ni mchaga?

Bora baba yako angepiga punyeto siku mimba yako ilipotungwa. What a waste of space you are!
 
Huyu hana tofauti na jambazi. Alafu mwizi kama huyu utamuitaje "mdau wa maendeleo"?? Mkoa wa Manyara?

Huyu Mulla na RC wa Manyara Mnyeti wangekamatwa wote pamoja maana lao ni moja. Mnyeti kamlinda sana huyu Jamaa kuanzia wizi wa madini ya Tanzanite, Rubi kule Longido na Simanjiro na uporaji wa ardhi ya Kijiji cha Kitai huko Simanjiro.

Abanwe sawa sawa, alipe kodi ya serikali, afilisiwe na apewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine wenye kupenda utajiri wa ujanja ujanja na shortcut.

Haya majitu ya madini hasa wa Mirerani karibia wote wamepata pesa kwa njia isiyo halali. Evaluation ya mali zao zifanyike. Kuna mwingine anaitwa DANIEL NGINYAMUI wa huko Simanjiro, huyu hana tofauti na Mulla. Amejikusanyia mali isiyo na maelezo na yeye vile vile anabebwa na RC Mnyeti.....SYSTEM IMFUATILIE huyu bwana.

Mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite Arusha ashikiliwa na vyombo vya dola.

Mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha na Manyara, Mulla Oleshangiki anashikiliwa na vyombo vya dola kwa takribani wiki mbili mpaka sasa.

Mfanyabiashara huyo alishikiliwa jijini Arusha na vyombo vya dola baada ya taarifa kudai kwamba amekuwa akijihusisha na biashara hiyo ya madini huku akikwepa kulipa kodi serikalini.

Mfanyabiashara huyo ambaye amekuwa na urafiki wa karibu na baadhi ya vigogo wa serikali mkoani Arusha alishikiliwa wiki iliyopita na kisha kwenda kupekuliwa nyumbani kwake ambapo alikutwa na baadhi ya madini ya Vito ambayo hayajalipiwa kodi Serikalini.

Mara baada ya kupekuliwa alifikishwa katika kituo cha polisi kitengo cha Utalii na kisha kuhifadhiwa hapo kabla ya kuchukuliwa na task force na kisha kupelekwa jijini Dar es salaam kwa mahojiano zaidi.

Mulla amekuwa akifadhili Kwaya mbalimbali za dini mkoani Arusha lakini pia amekuwa miongoni mwa wafadhili wa klabu ya Gwambina FC inayomilikiwa na mkuu wa mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti.

Pia ni Miongoni mwa wadau wa maendeleo katika mkoa wa Manyara ambapo amefadhili ujenzi wa shule na visima vya maji.

Mwisho

. Pichani ni mfanyabiashara, Mulla Oleshangiki View attachment 1397146

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom