TANZIA Mfanyabiashara Andrew Mollel afariki dunia (mmiliki wa Happy Sausages)

Kuna ukoo pia uko kimandolu wa Msechu ila ni Waarusha...kifupi hao Waarusha ni Wachaga waliozamia huko zamani.

Wamasai gani waliolima ndizi miaka yote na kufanya ufugaji wa ndani?

Wamasai asili yao ni kuhama hama na Ng'ombe mikoa kwa mikoa na hawalimi
 
NIMETOK Arusha
Wanakufaaaaaa wenyehelaaaa asikwambie mtu rip mpwaa
 
MOLLEL WANAISHA SO SAD
MAJUZI TUMEZIKA ALIEKUWA KATIBUMKUU R.MOLLEL..DAH
 
MKE WA UISSO NAE TUMPE.RIP
MAMA YETU MLEZI MZAZI PALE ARUSHA
SIJAJUA DON UISSO NAE ANAENDELEAJE MAANA....

VIPI MZEE WA PERFECT NAABASI YALE ANAENDELEAJE NAE....
.....NA WENGINE O MUNGU AWATUNZE
 

Marehemu Mzee Pendeza Studio ni mrangi ingawa alijiita Mollel
 
Elowassa maringo/majivuno/ kwa kimaasai.Baba yake Lowassa alikuwa tarishi wa kikoloni akivaa kaptura,viatu na soksi he was smart.Ndio chanzo cha jina la Lowassa ni Mmeru kwa 💯 %.
Sahihi kabisa mkuu,
 
Dah....tumetofautiana ....mm nadhan wanawake ndo wakusifie wewe..sio ww ujisifie..vianaume vihandsome vinajikutaga balaa..hamjishughulishagi mpo mpo tu...uzuri Mungu alishawapa KOFI...hamnaga hela chafu...mna hela za kubadilishia mboga
Hata za kubadilisha mboga hawana...ovyoo kabisa kushinda kwenye kioo tu


Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Shida ilikuwa nn.
Mungu awape nguvu ktk kipindi hiki kigumu
 
Kuna mmoja yumo humu jf...unadhani haendi chooni...mzuriii....kila wk naombwa hela.afu anakupangia sister naomba 30 hapa yaan sielewi kbs...ananichefua anavyojitapa humu namchek nasema nhiiii!


Mimi toka nikue na kujua kuwa mahandsome wengi na mwiba bwabwa na wapenda vitonga uwii huwa hata sipotezagi muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…