Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,295
Weeeee mchungaji hakanyagi hapo na hata akija anakaa pembeni kama waombolezaji wwngine hapana chezea .
Aisee chanzo nini jamani . Apumzike kwa Amani poleni ndugu Na jamaa.
Mabilionea wa Moshi nao wameanza? R.I.P Billionaire map.umb.uMfanyabiashara maarufu mjini Moshi leo asubuhi amejiua kwa kujipiga risasi.Mfanyabiashara huyo ajulikanae kwa jina AGUSTIN MALYA (kipumbu)amejiua na sababu za kifo chake bado hazijajulikana.
Aisee chanzo nini jamani . Apumzike kwa Amani poleni ndugu Na jamaa.
R.I.P Mfanyabiashara!
Hii dunia ina maajabu mengi, wengine wanatoa billions kwa tiba ili waongeze japo miezi 3 ya uhai.. Wengine hawataki hata kufika kesho. R.I.P Kipumbu
R.i.p kipumbu