Mfanyabiashara ajipiga risasi mjini Moshi

mnyinda

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
277
Reaction score
66
Mfanyabiashara maarufu mjini Moshi leo asubuhi amejiua kwa kujipiga risasi.Mfanyabiashara huyo ajulikanae kwa jina AGUSTIN MALYA (kipumbu)amejiua na sababu za kifo chake bado hazijajulikana.

CHANZO: Habari Leo(11/12/2014)
 
Kaskazini haswa Arusha na Kilimanjaro baadhi kama si wengi wanahitaji msaada wa kisaikolojia
 
Huyo hakuwa mfanyabiashara wa madini?
 
Nikweli hata huyu ni bilionea naye alikuwa na gorofa hapo moshi
 
Pole kwa ndugu! Jamaa kajihukumu mwenyewe kwenda Jehanum moto kama Yuda Iskariote aliyejiua baada kumsaliti Yesu Kristo.
 
Kama ni kanisa la KKKT,hafanyiwi ibada aliyejiua bali wanamzika bila sala pamoja na msalaba wake ndani kaburi wanafukia!
 
Aisee chanzo nini jamani . Apumzike kwa Amani poleni ndugu Na jamaa.
 
Kama ni kanisa la KKKT,hafanyiwi ibada aliyejiua bali wanamzika bila sala pamoja na msalaba wake ndani kaburi wanafukia!

Siku hizi wame change wana mfumo mpya at least unaimbiwa kidogo
 
Kujiua tu c suruhu bali kutatua changamoto ndio jawabu pekee R.I.P

I.
 
..rip...kibumbu...CHRISTIMASssssss imefika ukajikuta na madeni
 
Jamani kaskazini kunani......???.
Mbona mabilionea wanazidi kuisha...........
Wengine wanafia vifuani mwa wadada wengine wanauwawa ,wengine wanajipiga risasi......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Na wengine wanazaliwa lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…