Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,315
- 144,722
Gwajima ameshaoaKama ilivyokuwa kwa UKUTA, Askofu Gwajima naye kafanya hivyo hivyo.
Kawapandisha hawaa wafuasi wake, misukule wake, na wadandia treni lake halafu siku ya siku ilipofika kawaacha wananing'inia bila ya kuwapatia kile walichodhani watakipata toka kwake.
Kiki keshaipata [ambayo huenda imeambatana na rupia kiasi fulani].
Nadhani sasa mashiko ya hiyo nuksani yake na mkuu wa mkoa wa Dar yanaanza kufifia.
Kwa vile tumekuwa ni watu wenye kupenda penda matukio ya muda mfupi, nasubiri kwa hamu tukio lijalo litakalobamba.
Sijui ni tukio lipi lijalo ambalo litabamba katika siku na majuma yajayo lakini nadhani ule uchaguzi wa kumpata rais wa wale wadada na makaka 'wasomi' kule Arusha huenda ukawa ni mmojawapo.
Tusubiri tuone.
Suala la vyeti vya Daudi Albert Bashite bado kabisa..
Jizi la Taaluma.
Watakuwa machizi wakimchagua chizi kuwa rais Wao !!Kama ilivyokuwa kwa UKUTA, Askofu Gwajima naye kafanya hivyo hivyo.
Kawapandisha hawaa wafuasi wake, misukule wake, na wadandia treni lake halafu siku ya siku ilipofika kawaacha wananing'inia bila ya kuwapatia kile walichodhani watakipata toka kwake.
Kiki keshaipata [ambayo huenda imeambatana na rupia kiasi fulani].
Nadhani sasa mashiko ya hiyo nuksani yake na mkuu wa mkoa wa Dar yanaanza kufifia.
Kwa vile tumekuwa ni watu wenye kupenda penda matukio ya muda mfupi, nasubiri kwa hamu tukio lijalo litakalobamba.
Sijui ni tukio lipi lijalo ambalo litabamba katika siku na majuma yajayo lakini nadhani ule uchaguzi wa kumpata rais wa wale wadada na makaka 'wasomi' kule Arusha huenda ukawa ni mmojawapo.
Tusubiri tuone.
Hoja nzito hii,ngoja matusi ya vijana wenye arosto
Nimetoke kukidharau sana kiumbe kinacho itwa Nyani Ngabu
MTU anajiita nyani bado mnafikiria anaakili Sijui nani kawaloga wazungu walimchukua wamempeleka kwao anaishi jumba la maonesho!
Pambana na hali yako kijana unafikiri icho kiingereza ndio kinakufanya uwe binadamu? Nyani ni nyani tu hata awe USYou Gwajima fanboys are so predictable! Creatures of habit😀.
Ungeniuliza kwanza namaanisha nini?Lazima utakuwa msukule wa Gwajima tu wewe!
Si bure!
Unaharibu kuficha ujinga wako kwa lugha ya kiingereza?You Gwajima fanboys are so predictable! Creatures of habit😀.
Pambana na hali yako kijana unafikiri icho kiingereza ndio kinakufanya uwe binadamu? Nyani ni nyani tu hata awe US