opotopot88
Member
- Jun 14, 2021
- 41
- 102
Matumizi yake yashaisha lockupDuh huyu mama ni jirani yangu...ila muda huu nasikia shangweee benders ya zumaridi sasa inapepeaaa sasa ina Pepeaaaaa.kaachiliwa??tutakoma majirani sasa maake tulikua tumeanza kuzoea kulala bila makelele ya spika zake

Asaivi atakua anahubiri na vijembe juu, maana walokole WENGI kwa vijembee....
Kwahiyo unafurahia alale sero! Kwanini usiende wewe polisi ukaombe wakulaze sero ili ufurahie Krisimasi kwa utulivu.Duh huyu mama ni jirani yangu...ila muda huu nasikia shangweee benders ya zumaridi sasa inapepeaaa sasa ina Pepeaaaaa.kaachiliwa??tutakoma majirani sasa maake tulikua tumeanza kuzoea kulala bila makelele ya spika zake
-Usafirishaji wa binadamuKwani alikuwa na kosa gani? Mpaka ashikiliwe?
Kusafirisha binadamu ni kosa? Kwahyo mabasi yote yafungiwe?Usafirishaji wa binadamu
-Usafirishaji wa binadamu
-Kufanya mkusanyiko bila kibali
-Kuzuia polisi kutekeleza majukumu + kujeruhi polisi
Lingine nimesahau