Mfalme ya MwanaFA ft G-Nako

Mfalme ya MwanaFA ft G-Nako

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1,527
Reaction score
1,112
Huu wimbo nimeusikia Jana usiku. Hakika mwana FA kaonyesha ukongwe. Kama hujausikiliza tafadhali utafute.
Ukweli lazima usemwe tuuu
 
Huu wimbo nimeusikia Jana usiku. Hakika mwana FA kaonyesha ukongwe. Kama hujausikiliza tafadhali utafute.
Ukweli lazima usemwe tuuu

Nice track.
attachment.php
 

Attachments

  • Mfalme.jpg
    Mfalme.jpg
    34.6 KB · Views: 670
weka namba yako hapa nikutumie kwa watapps... ingawa mimi siupendi.!
 
Niliusikia Mara ya kwanza kwenye tuzo za KTMA
.wimbo wa ukweee
 
nahreal kanyonga beat tam sana..
much respect to my fellow producer
 
Back
Top Bottom