Mfalme Sulemani hakuandika vitabu vya Mithali

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,780
Reaction score
8,160
Hata mfalme sulemani hakuandika kitabu cha Mithali na Wala si kwamba alikuwa na hekima kuliko wote.

Bali vitabu vya Mithali viliandikwa na wanandishi wengine wa Kiyahudi ambapo zama za mfalme Sulemani ili maandiko yako yapate kibali na kuhifadhiwa ilikuwa sahihi kuhifadhiwa kwa mfalme sulemani thus akaonekana ndie mwandishi wa vitabu hivyo.

Mfalme Sulemani aliandika kitabu kimoja tu kinaitwa hekima ya sulemani na Mithali viliandikwa na wanandishi wengine akakabidhiwa kama mfalme avitunze.

Je, umeshawahi soma hekima za Yoshua Bin Sita zitafute kwenye Biblia ya wakatoliki ushibe hekima tele zile zimeshiba zaidi ya Kitabu cha hekima ya sulemani na Mithali.
 
Hakuviandika bali alipewa heshima ya uandishi wa vitabu hivyo sababu alikuwa ni mfalme
 
Hata mfalme sulemani hakuandika kitabu cha Mithali na Wala si kwamba alikuwa na hekima kuliko wote.

Bali vitabu vya Mithali viliandikwa na wanandishi wengine wa Kiyahudi ambapo zama za mfalme Sulemani ili maandiko yako yapate kibali na kuhifadhiwa ilikuwa sahihi kuhifadhiwa kwa mfalme sulemani thus akaonekana ndie mwandishi wa vitabu hivyo.

Mfalme Sulemani aliandika kitabu kimoja tu kinaitwa hekima ya sulemani na Mithali viliandikwa na wanandishi wengine akakabidhiwa kama mfalme avitunze.

Je, umeshawahi soma hekima za Yoshua Bin Sita zitafute kwenye Biblia ya wakatoliki ushibe hekima tele zile zimeshiba zaidi ya Kitabu cha hekima ya sulemani na Mithali.
Anhaa
 
Hakuna kitabu cha hekima za Yoshua Bin Sita.
 
Hivi hawa watu sijui kuna suleiman walikuwepo kweli au ni myths tu
 
Wabongo bhana mtu anabisha mambo ya israel huko madhariki ya kati utazani alikuwepo enzi za sule boy
 
Miaka 2000 ijayo wataokuwepo wakiambiwa kulikuwa na Google sijui jamii Forum watasema ni myths na hadithi za kufikirika
pia watadanganywa watanzania hatukuwa tunatekwa wala familia fulani kupeana madaraka mpaka na wake zao
 
Hata wewe huo mwaka wako wa kuzaliwa sio wewe uliye andika waliandika wazazi wako. Wewe ni mwongo unadanganya watu kwamba ulizaliwa mwaka huo ulikuwepo?. Huo mwaka sio wako, wewe hukuzaliwa mwaka huo.
 
Hata mfalme sulemani hakuandika kitabu cha Mithali na Wala si kwamba alikuwa na hekima kuliko wote.

Bali vitabu vya Mithali viliandikwa na wanandishi wengine wa Kiyahudi ambapo zama za mfalme Sulemani ili maandiko yako yapate kibali na kuhifadhiwa ilikuwa sahihi kuhifadhiwa kwa mfalme sulemani thus akaonekana ndie mwandishi wa vitabu hivyo.

Mfalme Sulemani aliandika kitabu kimoja tu kinaitwa hekima ya sulemani na Mithali viliandikwa na wanandishi wengine akakabidhiwa kama mfalme avitunze.

Je, umeshawahi soma hekima za Yoshua Bin Sita zitafute kwenye Biblia ya wakatoliki ushibe hekima tele zile zimeshiba zaidi ya Kitabu cha hekima ya sulemani na Mithali.
Hujatueleza wewe umejuaje lakin
 
Asante kwa hoja yako yenye kutafakarisha. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa kuwa katika Biblia ya Kiebrania (Tanakh) na Biblia nyingi za Kikristo, Mfalme Sulemani anatajwa kama mmoja wa waandishi wakuu wa Mithali, hasa sura za mwanzo (Mithali 1–9), ingawa sehemu nyingine za kitabu hicho zinaonyesha wazi kuwa ziliandikwa na watu wengine kama Aguri na Mfalme Lemueli. Hili linaonyesha kuwa kitabu cha Mithali ni mkusanyiko wa mafundisho ya hekima kutoka kwa waandishi mbalimbali, baadhi yao waliishi baada ya Sulemani. Hivyo, Sulemani hakusimama peke yake kama mwandishi wa kila mstari wa Mithali, lakini alihusishwa kama chanzo kikuu cha hekima kwa sababu ya hadhi yake ya kifalme na hekima aliyojulikana nayo (1 Wafalme 4:29–34).

Kuhusu kitabu cha "Hekima ya Sulemani," ni kweli kinapatikana katika Biblia ya Deuterokanoni inayotumiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi, lakini hakipo katika Biblia ya Kieprotestanti. Kitabu hicho hakikutungwa moja kwa moja na Sulemani, bali kiliandikwa na Myahudi wa karne ya kwanza kabla ya Kristo aliyeishi katika mazingira ya Kigiriki, akitumia jina la Sulemani kama njia ya kuwakilisha hekima ya kifalme.

Pia ni kweli kuna maandiko ya hekima kama ya Yoshua bin Sira (Siraki) yanayopatikana katika Biblia ya Wakatoliki. Kitabu hiki kina hazina kubwa ya mafundisho ya hekima na maadili, na kama ulivyosema, kinaweza kuonekana kuwa na kina kikubwa zaidi kuliko baadhi ya sehemu za Mithali. Hili linaonyesha kwamba hekima haikufungwa kwa Sulemani peke yake, bali ilienea kupitia waandishi mbalimbali waliotafakari maisha na kumcha Mungu kwa dhati.
 
Mythology tu ni sawa na hekaya za Abunuasi ili mradi tule Tushibe kesho tule tena
Tru mkuu,mythologies zinaexist muda mrefu kuliko hata biblia,dini nyingi zina myths bila shaka hata waandikq Bible walikuwa inspired na myths za kabla yao
 
Back
Top Bottom