MFALME KIBA.

Watz imegoma msimu huu....
[emoji32][emoji32][emoji32]
 
Jana kiba alitisha kweli kiti chake kilikuwa Na vumbi tu mfalme amerudi kiti chake anakalia. Kina fulani wataimba nyimbo zote za zamani tu sijui sasa watakuja Na za Bibi kidude au shakira
 
Jana kiba alitisha kweli kiti chake kilikuwa Na vumbi tu mfalme amerudi kiti chake anakalia. Kina fulani wataimba nyimbo zote za zamani tu sijui sasa watakuja Na za Bibi kidude au shakira
Saida Karoli tayari
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mi amenifurahisha na hiyo bendera...[HASHTAG]#kizalendoZaid[/HASHTAG]
 
nyimbo za kiba viewers youtube laki na ishirini halafu wa south wajue nyimbo zake tuacheni kidogo
 
Aliimba wimbo wke gani mpaka akapokea shangwe ivyo
Ile verse yake kwenye unconditionally bae...
[emoji445] me I need a wife...[emoji445]
Heheeee [emoji108]
Iliwachomaje sasa?
 
nyimbo za kiba viewers youtube laki na ishirini halafu wa south wajue nyimbo zake tuacheni kidogo
Waaap......viewers wa youtube sio kigezo cha ubora.... Ubora ni King Kiba mwenyewe na vocal yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…