Mfalme Berishaza Alilewa Madaraka Mpaka Akamkosea Mungu

Mfalme berishaza maandiko yanasimulia,alilewa madaraka akamkosea Mungu..
Alipopata ufalme alichanganyikiwa na cheo chake mpaka akathubutu kutumia vikombe vya hekalu..!

alishangaa kuona mkono unaandika ukutani na anayeandika alikua haonekani maneno yaliyotokea ukutani ni haya, "MENEMENE TEKELI NA PELESI" maana yake 'ufalme wako umepimwa kwa mizani nao umeonekana umepungukiwa, ufalme wako umesababisha matabaka umegawanya Wamedi na Wajemi"

Bershaza alizani amefika akaanza kudharau watu wake kumbe hakujua safari bado'
mfalme alizani amefika mpaka hakumuogopa Mungu,
nakusihi Mfalme Safari Bado usijifungue mtoto wa kwanza ukaanza kutukana wakunga''
Hiyo tafsiri ilitolewa na Nabii Daniel nadhani!
 
Menemene tekeli na peresi
Farisayo wewe Yesu aliagiza mitume wahubiri injili hawa maaskofu mabwege wanahubiri katiba Na demokrasia Na haki za binadamu na kumhubiri Magufuli instead of preaching christ they make Magufuli as their sermon to hell with them.They were commanded to preach christ not Magufuli but they make Magufuli their sermon to hell with them
 
Imegusa penyewe
 
Back
Top Bottom