Mfahamu samaki ambaye dume ndio huzaa

Mfahamu samaki ambaye dume ndio huzaa

Matak.o yao yaani nimgegede shori wangu anase then kimtindo kimimba anirudishie nikae nacho kikue nikitotoe?tungepiga sana kwa condom!
 
Ila kwenye hiyo video naona anatoa zaidi ya watoto hata 1000 maana mkupuo mmoja anatoa wengi sana so, kama hilo zoezi ni la masaa 8 kwenda juu means atakuwa narundo la offsprings.
 
Toka darasa la kwanza hadi la saba sijawahi soma hii kitu....labda mlioendelea baada ya nyie kufaulu mtusaidie
 
Maelezo mazuri ni kwamba, jike anazaa watoto njiti, then dume anawaweka kwenye natural incubator, after 45 - 50 day anawatoa.
 
Yes na hyo video pia iko fast kidogoo lakini ni very slow action.. kwa muda
Ila kwenye hiyo video naona anatoa zaidi ya watoto hata 1000 maana mkupuo mmoja anatoa wengi sana so, kama hilo zoezi ni la masaa 8 kwenda juu means atakuwa narundo la offsprings.
 
Back
Top Bottom