Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 5,628
- 10,575
asante sana kwa madini haya unayo tupasawa sawa mkuu nitafanya hvyo mkuu wangu
asante sana kwa madini haya unayo tupasawa sawa mkuu nitafanya hvyo mkuu wangu
mkuu ukielewesha nieleweshe orait!!?Yaani sijaelewa dume anampanda jike then mimba anapata yeye au
ha ha ha sawa boss inakua hivi baada ya dume kumpa mimba jike yaan kumpa mbegu jike hurutubisha ale mayai ndani na baada ya suku kadhaa huyarudisha kwa dume kwa njia ya haja kubwa ambapo dume atakaa nayo tumboni na kusubiri muda wa kuzaamkuu ukielewesha nieleweshe orait!!?
unanimix sasa, yaani kwamba dume anakula mapoop ya jike ambayo ndani yake kuna mayai sio!?ha ha ha sawa boss inakua hivi baada ya dume kumpa mimba jike yaan kumpa mbegu jike hurutubisha ale mayai ndani na baada ya suku kadhaa huyarudisha kwa dume kwa njia ya haja kubwa ambapo dume atakaa nayo tumboni na kusubiri muda wa kuzaa
hapana ila dume ana mpanda na baadae huyachukua hayo mayaiKwa hiyo dume anapandwa na jike au
huwa wanaungana nyumba na mayai yanapita directlyunanimix sasa, yaani kwamba dume anakula mapoop ya jike ambayo ndani yake kuna mayai sio!?
Wakati wanajamiiana huyu jike anamuwekea mayai zaidi ya 1000 dume kwenye mfuko ulio mbele (pouch) kama mfano wa kangarooYaani sijaelewa dume anampanda jike then mimba anapata yeye au
wanaitwa sea horse kawafatilie ni nature mkuuHapo hao waliogundua jambo hilo ndio wamechanganya madesa. Dume haliwezi kuzaa kwani litapoteza hiyo sifa ya udume.
Huenda wamemismatch maelezo
Mkuu hiyo pouch anayohifadhi mayai hujaiona?ha ha ha sawa boss inakua hivi baada ya dume kumpa mimba jike yaan kumpa mbegu jike hurutubisha ale mayai ndani na baada ya suku kadhaa huyarudisha kwa dume kwa njia ya haja kubwa ambapo dume atakaa nayo tumboni na kusubiri muda wa kuzaa
naifahamu mkuuMkuu hiyo pouch anayohifadhi mayai hujaiona?
Dume kupata mimba ajabu sana hawa viumbenaifahamu mkuu
wanaitwa sea horse kawafatilie ni nature mkuu
inawezakana mkuu ninachokueleza nakijua 100% nenda google au youtubeMkuu nitawafuatilia lakini jambo hili haliwezekan. Kiumbe chochote kilicho dume hakizai wala kutaga kwa ajili ya uzao. Ikitokea jambo hilo kiumbe hicho kinapoteza sifa kuu ya udume. Na kuchukua sifa ingine
Wakati wanajamiiana huyu jike anamuwekea mayai zaidi ya 1000 dume kwenye mfuko ulio mbele (pouch) kama mfano wa kangaroo
Hapo dume hukaa na hao watoto mpaka siku 45 wakati wanakuwa wamekuwa na kutoka kwenye pochi
Kwa hiyo dume hazaiii
dig deeper search google na vyanzo vya habari then uje na facts..
ha ha sasa tumwite jike mkuu?Dume mana yake ni mwanaume na mwanaume mana yake ni kumzalisha mwanamke kupitia uume wake....sasa swala LA Dume kuzaa tena anakuwa ashapoteza sifa ya kuwa mwanaumeDume.
Karibu sanaAsante kwa ufafanuzi mkuu