Mfahamu Mwanamke aliyefika kileleni

Mfahamu Mwanamke aliyefika kileleni

asante sana kwa hii elimu, najua sasa WAbongo wala chips hawawezi kufikisha mwanamke kileleni , ila wanawake wa dar wakienda mkoani lazma wafikishwe, hasa kilimanjaro na Arusha maana hiyo mikoa watu wana hela, akili na afya, kule mtoto anakojoa mwenyewe
mmmmh, endelea na ukanda wako. ila kuna mikoa ni weka mbali na watoto kwenye hayo mambo.
 
Wanawake wengi wanatabia ya kudanganya kuwa wamefika kileleni kumbe hata kileleni kwenyewe hajuwi ni wapi.

Mara nyingi wanatumia mbinu ya kudanganya kama wanafika kileleni kwa kupiga kelele za kimahaba na wapo ambao huongea kabisa, utawasikia “ooh bebi I’m coming”.

Hapo mwanaume utajiona dume la mbegu kumbe “hutoshi”. Wakati mwingine wanaume wanapata taabu sana kujua kama ni kweli wamewaridhisha na kuwafikisha wake zao au la.

Dalili 5 zitakazokuonyesha sasa anafika kileleni:

1. UTAONA MISULI YA UKE WAKE INAKAZA NA KUACHIA

Mwanamke anapokaribia kutaka kufika kileleni utaona misuli kuzunguka uke kama inakaza na kuachia hivyo hivyo kwa sekunde kadhaa na utaona wazi mheshimiwa akibanwa na kuachiwa hivi. Ni wakati huu mwanaume hatakiwi afike kileleni kwani atamwacha mwenza wake pabaya sana.

Kadri mwanamke anavyokaribia kufika kileleni ndivyo na kasi ya kukaza na kuachia kwa misuli ya uke itakavyokuwa inaongezeka.

Kitendo hiki cha uke kumbana na kumwachia mzee kitaendelea kwa kujirudia rudia mpaka mwanamke amefika kileleni.

2. UKE UTAZIDI KULOA MAJI

Hapa sasa unaweza kuwa na uhakika kwamba ameshafika mlimani kabisa.

Haya maji maji au utelezi kidogo unaotokea hapa ndiyo tunaweza kusema ni kukojoa kwa mwanamke na hapo ndiyo na yeye anakuwa amefika kilelelni kama vile manii yanavyomtoka mwanaume anapofika kileleni.

Kwahiyo wanawake nao huwa wanakojoa katika tendo la ndoa na ndiyo wakati huo yeye huhisi raha ambayo ni vigumu kuielezea.

G-spot inapopata msuguano wa kutosha hapo mwanamke ataweza kukojoa. G-Spot ni sehemu ipo sehemu ya juu ya uke wa mwanamke inch 2 kutoka juu kwenye mlango wa uke.

Hamu hii ya kutaka kukojoa wanawake wengi huipata katikati ya tendo la ndoa kuanzia dakika ya nane kwenda juu mpaka ya 15 au 20, wengine wanaweza kuipata wakati wa maandalizi kama mwanaume anajuwa kuichezea vizuri G-spot ya mwanamke.

G-spot inapopata msisimko wa kutosha, inatoa taarifa kwa homoni ya kike kutengeneza hayo majimaji yakiwa tayari. Mwanamke utajisikia kutaka kukojoa na ukijiachia ili yatoke yatapitia kwenye urethra kama mkojo lakini sio mkojo bali ni majimaji ya kufika kileleni.

Wanawake wengi wakati wa kupeana raha na utamu kuna muda huwa wanajisikia kama kukojoa na wanaomba wakakojoe lakini kumbe ni majimaji ya kufika kileleni.

Unashauriwa wakati mwingine kabla ya kushiriki tendo la ndoa ukojoe kabisa ili kibofu chako cha mkojo kiwe kitupu ili katikati ya tendo ukisikia kukojoa ujue unakaribia kufika kileleni. Kwahiyo jiachie na uwe huru ili uweze kupata raha na utamu wa kufika kileleni.

Si wanawake wote wanaweza kutoa majimaji mengi, kama ikitokea hujatokewa na hali hii usijisikie vibaya bali ujuwe kuwa upo katika kundi la wale wanawake ambao wakifika kileleni uke wao huwa unazidi kuloa badala ya kutoa maji kama mkojo kabisa.

3. MIGUNO NA MAKELELE YA KIMAHABA VITAONGEZEKA

Hapa uwe makini kidogo. Wapo wanawake wao huwa na kelele wakai wote tangu mnaanza mpaka mnamaliza, mwanamke wa namna hii anaweza kumchanganya mwanaume asiye mjanja kutambua hizi ni kelele za kufika kileleni au ni kelele za kawaida tu.

Wanawake wengi wamedanganya waume zao kwa kutumia mtindo huu na mwisho wa siku huwa hata hawajafika kileleni. Utaweza kujua kuwa anadanganya pale kelele au miguno yake ikiwa katika mpangilio unaoeleweka kwa mfano (oooh yeah,oooh yeah,ooh yes kama cd iliyorekodiwa, hapo ujuwe unadanganywa).

ENYI WANAUME WENZANGU TUJITAHIDI KUWA WABUNIFU KWA KUWAFIKISHA KILELENI AHLI ZETU LAKINI NAO WANAWAKE JITIHADA HII HAIWAKOSI NAO WANAPASWA KUWA WABUNIFU KUWATOSHELEZA WAUME ZAO HILI JAMBO NI LAKUSAIDIZANA KWA SOTE ILA ZAIDI KWA WANAUME.

👍👎

Kelele za kufika kileleni mara nyingi huwa hazieleweki na wala huwa hazina mpangilio maalumu. Kwa kawaida kelele huwa za undani kidogo zikiambatana na lugha ya mwili inayoendana na makelele au miguno anayoitoa.

Kinyume na hapo ujue anakudanganya.

4. CHUCHU HUANZA KUWA NGUMU

Kwa kawaida mwanamke anapokuwa anazidi kupata hamu ya tendo la ndoa matiti yake huvimba kutokana na ongezeko la kasi ya mzunguko wa damu katika mwili wake, lakini chuchu zake huwa zinakuwa za kawaida.

Hata hivyo kuna baadhi ya wanawake chuchu zao zinakuwa ngumu pale matiti yakivimba (hawa ni wachache sana).

Hivyo ni mhimu ujue mapema kabla hata tendo la kupeana raha na utamu halijakolea.
naomba clip ya mguno ukiacha ile ya menina akilamba vidole
 
mmmmh....hizi multiple IDs, kuna Jaji Mfawidhi na jaji mfawidhi. kwema lakini?
Check nimejiunga lini, hasa baada ya kutoka masomoni Whales.
Kwema, tunapeana ujanja, mambo ya chumbani
 
Nimehakuwa katika mahusiano na wanawake 15,ambao nina uhakika nilikuwa nawafikisha kunako ni wa 4 tu na kila mmoja na namna ya ufikaji wake
1:Usingizi
2:Kutoa harufu kali
3:Kuchoka ghafla
4:Mayowe
 
Nimehakuwa katika mahusiano na wanawake 15,ambao nina uhakika nilikuwa nawafikisha kunako ni wa 4 tu na kila mmoja na namna ya ufikaji wake
1:Usingizi
2:Kutoa harufu kali
3:Kuchoka ghafla
4:Mayowe
naomba ufafanuzi wa
1. usingizi

2.kutoa harufu kali

kuchoka ghafla.

itatusaidia sisi wanawake wengine kwenye kuwafunda watoto wetu.
 
Wengine hua wanatoa jicho kiasi kwamba hata utoboe na kidole halifumbi hata kidogo kama anakata roho vile
 
Nikusomeshe
Nikulishe
Nikuvishe
Na bado kileleni nikufikishe, we mtu au kobe?
Hebu panda mwenyewe huko kileleni, ufike utajua mwenyewe.
 
naomba ufafanuzi wa
1. usingizi

2.kutoa harufu kali

kuchoka ghafla.

itatusaidia sisi wanawake wengine kwenye kuwafunda watoto wetu.
1: Baadhi ya wanawake waakishafika kileleni ghafla wanapata Usingizi mzito Sana ½ kuzimia ,unaweza ukasema ana kifafa kumbe sio
2:Harufu kali inatokana na kile anachokikojoa(manii) baadhi ya wakishakojoa manii yao yanatoa harufu
 
Sawa, hao wanaolala inatokana na ile furaha inayopita kifani, yani anakia duniani na mbinguni hakuna kama wewe, yaani wanaume mngejua mngekuwa mnatufikisha, sema basi tu, wachache sana wanaweza haya mambo.
huwezi kuta kijana mla chips akakufikisha, ama mtu anashinda saluni, hana zoezi, eeh, kijana yupo na ice cream , juisi ya ukwaju ila ukute jitu linakula donna, mihogo, dagaa lamza ukojoe
 
Yah uko sahihi,mara ya kwanza iliponitokea nikajua hii tayari kesi,asipozinduka huyu nimekwisha Mungu weeeeee!! nikaanza kumpepea baada ya dakika kadhaa akaanza kujinyoosha hatimae akafumbua macho na kuanza kuangalia kwa jicho la huruma sana,nikamuuliza kunani mbona hivyo hakunijibu,ila baada ya kuzoeana sana wiki kadhaa baadae akaniambia alikuwa haja. ... siku nyingi kwahiyo siku ya tukio nilikidhi haja yake akajikuta duniani hayupo alikokuwa hata hakujui
 
Honger zake sana , haika, na wanaume mngejua, panga walau kwa wiki kumfikisha kileleni mkeo mara moja tu., hizo nyingine piga cha fasta fasta, sisi tunaita "cha bata"
 
Honger zake sana , haika, na wanaume mngejua, panga walau kwa wiki kumfikisha kileleni mkeo mara moja tu., hizo nyingine piga cha fasta fasta, sisi tunaita "cha bata"
Nikimpenda sana mwanamke lazima nimfikishe tu ili kesho aje tena,ila nisipompenda napiga cha fastafasta.
Yes kwa tulio kwenye ndoa muhimu Sana kuwafikisha wake zetu kunako,Ni kosa kubwa Sana narudia tena ni kosa kubwa sana kutomfikisha kileleni mkeo,na sio kosa tu ni hatari kwa ndoa yenu
 
Back
Top Bottom