Mfahamu Mwanamke aliyefika kileleni

Sasa tutafanyaje jaman. Mtu unataka kumpandisha kileleni lakini yeye anataka kushuka

Siyakudumisa Nkosi Yezulu
hahahahah si ni sawa jamani ukimpandisha lazima ashuke? akibaki huko muda mrefu anazimika ujue

huo mlima ni mlima mwingine acha kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kuna demu wakati wa tendo huwa anazimia kwa sekunde chache halafu anazinduka....huyu ikoje mkuu?
 
kwa taarifa yako mkeo akishazoea kufika kileleni mara kwa mara pindi haupo tu lazima achepuke, kama ni demu ukiwa unamkojoza sana atakuganda mpaka ukome...cha muhimu piga bao zako kama home au gf fanya kwa mwezi mara moja kama ni mchepuko achana nae maana mnaweza mkajikuta mchepuko mmoja mko wanaume kumi....angalizo kwa sababu kufika kileleni ni starehe basi wanawake waanze kutulipa....siyo lazima kusoma au kufuata nilichoaandika hapa muhimu tafuta hela na pindua pindua mademu hadi uchoke ndo starehe pekee tuliyoumbiwa wanaume hapa duniani baada ya kufanya kazi kwa jasho..refer maandiko matakatifu...
 
Dah...Kuna mpangaji mwenzangu hapa.... huwa nasikia sauti Kama ya mbuzi hivi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
We mama upo? Sio kwa kuporea huko jamaniπŸ™†
Your missed.
nafichwa na hii hali ya hewa ni balaaa

huku kwetu (Arusha) ni joto sanaaaaaaaaaaaaaa

i mic u plenty!!!!!!!!!!!!!
 
nafichwa na hii hali ya hewa ni balaaa

huku kwetu (Arusha) ni joto sanaaaaaaaaaaaaaa

i mic u plenty!!!!!!!!!!!!!
Yaani hili joto ni balaa na nusu. Nimefurahi kukuona mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…