Mfahamu samaki ambaye dume ndio huzaa

1081514


Kwa wale wasiotaka kuelewa
 
Yaani hi haikubaliki! Ngumu kumesa!! Yaani mm nizae!? Abadan asilan
Sasa umetambua Kumbe kuzaa ni kazi kubwa sana!!
Tuwapunguzie mzigo wake zetu kwa kufanya kazi zingine zote kama kupika kufua na nyinginezo wao wabakie na jukumu la kutuzalia na kutulelea tu.
 
Sasa muda wa kuzaa dume huwa na pochi kwenye tumbo na jike huhamishia mayai kwa dume yakiwa bado kabisaa na yakishaingia kwa dume huboreshwa na hukaa kwa siku 14 mpaka wiki 4 ambapo hutoa watoto mpaka 150


Hiyo kauli hapo juu inaonyesha hicho ulichosema sio sawa kwamba dume anazaa, huyo anayezaa ni jike.
 
Back
Top Bottom