Hamna kitu km hicho siku 90 bila msosi wee thubutuYeye mwenyewe si alikua anaumwa umwa sana ndo akafunga siku 90 (miezi 3), hali chakula chochote zaidi ya kunywa maji tu... Akatoka hapo mzima wa afya. Kanifanya nipendelee water fasting ku-detox mwili wangu!
nahitaji hii elimu mkuu mbuzi ankulaje magadi na je hao mbuzi ni wale wakisasa?Mkuu huyo mbuzi na product zake ndio utata zaidi bora ng'ombe na product zake. Mbuzi anatengeneza tindikali nyingi kutokana na ulaji wake na mfumo wake. Mbuzi mzuri ni yule anaekula magadi, wapo baadi ya maeneo mkoani Kilimanjaro.
Nenda youtube!! Kuna mdada alikaa siku 120!!! Karekodi kila sikuHamna kitu km hicho siku 90 bila msosi wee thubutu
Hii mada ikiendelezwa kuchokonolewa, KWELI za Mungu nyingi zitajifunua, maarifa yataongezeka, watu watamjua Mungu, wataachana na huu uhuni na utapeli ufanyikao na hawa wa leo. Mungu ni UPENDO.Thankiu very much, Mungu wetu ni pendo lililo kuu.
kweli mkuu Mungu wetu katawanya matunda, mimea, majani, na maji kama vijenzi na tiba mhimu miilini mwetu, tatizo hatudadisi na hatujidhatiti katika tafiti na nidhamu ya vyakula.Hii mada ikiendelezwa kuchokonolewa, KWELI za Mungu nyingi zitajifunua, maarifa yataongezeka, watu watamjua Mungu, wataachana na huu uhuni na utapeli ufanyikao na hawa wa leo. Mungu ni UPENDO.
Walimuuaje tuhadithieNaamfahamu huyo mtu na hata jinsi walivyomuua wamerekani
Sababu ya kifo chake ni nini? Natamani kujua na kumjua zaidiVizuri watu wanamfahamu Dr Sebi. Nimemfuatilia muda sasa hadi mauti yalipomkuta akiwa mikononi mwa polisi huko Honduras.
Apumzike kwa amani kusaidia watu kuzingatia mpangilio mzuri wa vyakula jambo poa sana.
Your food your medicine and your medicine your food.
I've been vegetarian for 6 years now....I'm happy and healthy.
Damn it! Nitumie linkNenda youtube!! Kuna mdada alikaa siku 120!!! Karekodi kila siku
Alikamatwa airport na kupelekwa selo... Akaugua pneumonia wakamkatalia kumpelekea madawa yakempaka akafariki. Amefariki akiwa na umri wa miaka 82Sababu ya kifo chake ni nini? Natamani kujua na kumjua zaidi
6 Evidence-Based Health Benefits of Hemp SeedsHemp seed, ni zile mbegu za bangi?
Na mwisho wa siku, kwa kila kiitwacho "dhambi" ni kile kiendacho kinyume na ASILI. ASILI ndo Mungu, na madhara ya dhambi ndo haya magonjwa na hormone imbalances, ushoga nk. Hakuna dhambi isiyo na mantiki yake.kweli mkuu Mungu wetu katawanya matunda, mimea, majani, na maji kama vijenzi na tiba mhimu miilini mwetu, tatizo hatudadisi na hatujidhatiti katika tafiti na nidhamu ya vyakula.