Ipo kazi! Yaani unywe Lita 5 za Maji kwa siku si utashinda chooni!Ndiyo mkuu.
Kwa mwendo huo automatically unajikuta umeacha mambo mabaya yote. umrudia muumba . Ulaji huu umahitaji discipline ya hali ya juu sanaGALONI MOJA YA MAJI SI LITA TANO EEH?
GALONI MOJA YA MAJI SI LITA TANO EEH?
Ndiyo mkuu.
Clueless14 you are missed...Almost lita 3.5, sio 5
Mwalimu wangu huyo ndie aliye ni fundisha kutibu maradhi sugu ya Ukmwi.Saratani, kisukari, Hepatiti B Virus, na maradhi mengine mengi tu. Mungu amrehemu Dr.Sebi Wamarekani ndio walio muuwa kwa sababu anatibu maradhi ya Ukimwi na maradhi ya Saratani Wamarekani aka (CIA) wanaona wao hawapati pesa dawa zao feki waka amuwa kumuwa Dr.Sebi nchini kwake Honduras mwaka jana.Dr Sebi alizaliwa Honduras, alifanikiwa kutibu AIDS, cancer, kisukari, lupus na kifafa. Miaka ya 1980 alichapisha tangazo kwenye
Nafaka:
- Achiote
- Cayenne/ African Bird Pepper
- Coriander (Cilantro)
- Habanero
- Onion Powder
- Sage
Grains
Nuts and Seeds – (includes Nut and Seed Butters)
- Amaranth
- Fonio
- Kamut
- Quinoa
- Rye
- Spelt
- Teff
- Wild Rice
Oils
- Hemp Seed
- Raw Sesame Seeds
- Raw Sesame Tahini Butter
- Walnuts
- Brazil Nuts
- Pine Nuts
Pia Dr Sebi anashauri unywaji wa galoni moja ya maji kwa siku kama njia nzuri ya kutoa takata taka zilizomo mwilini. Chai na kahawa ni simu kubwa katika mwili, kunywa herbal teas na maji tu kama utaweza.
- Olive Oil (Do not cook)
- Coconut Oil (Do not cook)
- Grapeseed Oil
- Sesame Oil
- Hempseed Oil
- Avocado Oil
Asante Dada Sky Eclat , nilishawahi kusoma sehemu kuwa hata ulaji wetu wa matunda kwa sasa una walakini sana, Matunda mengi kwa sasa hayafati mfumo wa Asili kwani Mengi tunaita Matunda ya Kisasa ambayo hayana season, yaani yanapatikana mwaka mzimaIko hivi,Ndiyo mkuu.
Mjini apa tunaenda haja kwa 300 (300 ×5) × 30days = Tsh. 45,000. Hiyo ni kodi ya nyumba.Ipo kazi! Yaani unywe Lita 5 za Maji kwa siku si utashinda chooni!
Utashinda chooni sikuya kwanza na ya pili... Ukiendelea mwili unazoeaIpo kazi! Yaani unywe Lita 5 za Maji kwa siku si utashinda chooni!
Yeye mwenyewe si alikua anaumwa umwa sana ndo akafunga siku 90 (miezi 3), hali chakula chochote zaidi ya kunywa maji tu... Akatoka hapo mzima wa afya. Kanifanya nipendelee water fasting ku-detox mwili wangu!Mwalimu wangu huyo ndie aliye ni fundisha kutibu maradhi sugu ya Ukmwi.Saratani, kisukari, Hepatiti B Virus, na maradhi mengine mengi tu. Mungu amrehemu Dr.Sebi Wamarekani ndio walio muuwa kwa sababu anatibu maradhi ya Ukimwi na maradhi ya Saratani Wamarekani aka (CIA) wanaona wao hawapati pesa dawa zao feki waka amuwa kumuwa Dr.Sebi nchini kwake Honduras mwaka jana.
View attachment 487743