Shukraani bwana ,, huyu jamaa ni hatari na Nusu siku zote huwa namuweka namba kati ya wanasayansi wote waliokanyaga mgongo wa Dunia hii
Haina haja ya kutaja kila Alichofanya , Nadhani vyaeleweka huyu Alikuwa ni Gifted man
Nikushukuru sana ,kunifungua kidogo ,Maisha yake ya Mwisho Leornado aliyamaliza Ufaransa lakini historia , inasema huyu bwana alikuwa ni muitaliano kutoka Mji wa Vinci na ndipo lilipopatikana Jina lake
Hivyo kutokana na ulichokiandika ,nmepata kitu kingine Ambacho huenda sisi hatukikijua kabla ....hivyo imenipa Shauku Ya kuendelea kumsoma zaidi na zaidi
Shukraani 🙏 mkuu
🤣🤣Rafiki yangu tukiwa kidato cha tatu,alinipatia jina hilo kama nickname ,hii ilitokana na mfanano wa tarehe ya na mwezi wa kuzaliwa na Da'vinci mwenyewe
Nikalipokea likawa popular zaid ya La kwangu halisi(.....)