kasuku anakariri maneno mengi sana na siyo hiyo hi na kukohowa. Kasuku anaomgea kabisa mfano anakuambia shikamoo, mambo vipi tena kwa sauti za aina tofauti, kasuku mmoja anaweza kujiuliza kama baba akajijibu kama mama na akaongea tena kama mtoto hapohapo..... SASA HUYO KUNGURU ANAKOHOWA HAPO NA KUSEMA HI UNAKUJA KUMLINGANISHA NA KASUKU??? NIMEJARIBU KUWEKA VIDEO YA KASUKU TENA WA KITANZANIA ANAONGEA KISWAHILI NIMESHINDWA..... huwezi linganisha kunguru na kasuku hata siku moja, ni sawa na kulinganisha mbwa na simba.