Mfahamu kokopeli

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,836
Reaction score
870,736
Kuna kitu huwa nakiepuka sana! Kuvaa nguo zenye maandishi na michoro nisiyojua maana wala tafsiri yake.. Kwakuwa huwezi jua umevaa kitu kilichoandikwa nini na tafsiri yake ninini

Lakini zamani kama miaka 15 hivi iliyopita niliwahi kununua Tshirt yenye kikaragosi kinachopuliza zumari kikiwa kimetanguliza mbele vikaragosi vingine vidogo kama vitoto na chini yake kukiwa na maandishi ya kokopeli/cocopeli

Kwa mahaba makubwa na kile kikaragosi na maandishi yake T-shirt ile ilipochakaa niliichukua mpaka kwa mchoraji anichoree ile picha ibaki kama kumbukumbu! Sikuwahi kumuona tena!

Leo nimepita mitandaoni na kukutana na kokopeli na hii ndio tafsiri yake!

Kokopeli ni pepo anayeonyeshwa kama mpiga filimbi mwenye nundu (mara nyingi akiwa na manyoya kichwani), ambaye ameheshimiwa na baadhi ya tamaduni za Wenyeji wa Amerika Kusini-Magharibi mwa Marekani.

Kama miungu mingi ya uzazi, Kokopelli anasimamia uzazi na kilimo. Yeye pia ni mungu wa hila(figisu) na anawakilisha roho ya muziki.

Utamaduni wa Hopi unaamini kwamba yeye hubeba watoto ambao hawajazaliwa mgongoni mwake na kuwasambaza kwa wanawake.

​

•Mpagani wa Ulimwengu wa Kusini

KOKOPELLI



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uungu wa uzazi wa Kokopelli, mkono na ishara ya ond kwenye mitende, tai au ndege kunguru, mjusi, jua na cacti. Kokopelli na filimbi nyeupe. Seti ya Waamerika wenye asili ya kikabila alama za azteki za tattoo nyeusi.



KOKOPELLI

Kuna petroglyphs za Kokopelli zilizoachwa na kuhama kwa michoro ya watu kwenye miamba njia yote kutoka ncha ya Amerika Kusini hadi Kanada. Kicheza zumari hiki cha kupendeza chenye nundu ni ishara inayopendwa na inayopendwa sana ya Wenyeji wa Amerika.

Katika nundu mgongoni mwake amebeba mbegu za mimea na maua zikimdhihirisha kama ishara ya rutuba. Muziki wa filimbi yake unaashiria joto.

View attachment 2704254
 
Binafsi haya mambo niliyajua nikiwa Mdogo sana.

Nimekulia Nyumba ya Askofu KKKT.

SIJAWAHI KUVAA TSHRT YENYE MAANDISHI YOYOTE.

NGUO zangu zote ni plain.
Nowadays nashindwa hata kuvaa TSHRT zaidi ya Suti tu.


Mungu ni mwema.
[emoji120]
Sasa watu wenye tamaduni zao wakija huku kwetu wamejichora sisi tunaiga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyimbo za Muziki wa Kokopelli za Flute ya Asili ya Amerika na Flute ya Silver

Odell Borg

Beverly Vance

Howard Vance

Muziki Asilia wa Melodies za Kimarekani na Nyimbo za Kufundishia

Nyimbo za Kokopelli

Kokopelli

Uchapishaji wa TootPic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KOKOPELLI

Kuna petroglyphs za Kokopelli zilizoachwa na kuhama kwa michoro ya watu kwenye miamba njia yote kutoka ncha ya Amerika Kusini hadi Kanada. Kicheza zumari hiki cha kupendeza chenye nundu ni ishara inayopendwa na inayopendwa sana ya Wenyeji wa Amerika.

Katika nundu mgongoni mwake amebeba mbegu za mimea na maua zikimdhihirisha kama ishara ya rutuba. Muziki wa filimbi yake unaashiria joto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…