Mfahamu kinyonga

Iko muzuri


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
 
Aliendika kaandika baadhi ni hadithi za uongo kinyonga anataga mayai laini huchimbia chini ili yapate joto na kuji totoa yenyewe
Write your reply...

Kuna documentary moja niliona ya kinyonga mbona alikua anataga tena ana chimba shimo aridhini ndo anataka alafu anafukia au hao mabeberu wali edit hyo makala

Sisi wa bush tushawahi kuyaona mayai pamoja na vitoto vikitoka ndani, ulicho andika ni pseudo science huwa inatumika kuongelea vitu ambavyo hatuna taarifa nzuri navyo.

Ukijiuliza tu je kani ya mvutano haiwezi dhuru watoto tumboni akijidondosha pia sayansi inaonesha viumbe wengi watokao tumbo wengi wakitoka huwa dhaifu mfano mtoto wa mbuzi huchukua muda kuanza kutembea?

Lakini pia kwenye classification inasema reptile wengi hutaga mayai kwa sababu kinyonga ni reptile basi yeye hutaga mayai kama mamba nyoka na wengine walio kwenye kundi hili
 
Lushoto my homeland
 
Hapo kwenye kupasuka ili azae kwani akiwahiwa akafanyiwa upasuaji hapo vp anaweza kuendelea na maisha?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…