Miaka hiyo barabara kutoka Dar hadi Songea ilikuwa mkeka kama sasa?Ni miaka ile ya 90. Ni Likungu Trans, ISUZU MV 118, TZK6150, Dar Njombe Songea. Dereva Selepion huyo wa Katikati na aliyeshika kiuno ni Juma Ndang'o. Alisumbua sana njia ya Songea - Dar. Alishawahi kuingia Songea saa 12 kasoro jioni akitokea Dar, dereva, alikuwa ni Selepion. Ilikuwa ni vigumu sana kuamini kama ISUZU inaweza kukimbia hivyo. Lakini Likungu ndiyo ilikuwa hivyo. Hatari sana, watu wa Songea hawawezi sahau hii gari.
Barabara ya Songea Dar kwa miaka mingi sana ni full lami, its tricky though, kutoka Njombe hadi Songea kuna hadi utelezi kwenye hiyo hiyo lami ,making it one of the most dangerous road in East Africa .Naona jamaa alikuwa anakanyagia sana aisee. Naomba kuuliza pia barabara Dar to Songea ilikuwa lami full au?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Full lamiMiaka hiyo barabara kutoka Dar hadi Songea ilikuwa mkeka kama sasa?
965kmKm ngp kwanza?
Songea to Dar via Iringa lami iliwekwa kitambo sana sijui miaka ganiFull lami
Mbona huyo cha mtoto, kulikuwa na ligi ya masia express Tzj 3360 matema beach Tzj 7104 , Tawaqal Tzk110 etc , hizi zilikuwa zikikutana dae mnaingia saa nane mchana ,yani kipindi cha dj show ya radio one ya kina mike mhagama ndo kinaanzaKuna mdau alileta thread kama hii anakuambia kuna mwamba wakuitwa alichapa gia Dar -Mbeya kwa masaa 9 alitoka Dar saa 12 asubuhi na alifika mbeya saa 9mchana
Yes mkuu hii Matema Beach Yes ilikua ni moto, pia kiswele route ya dar to songea hii bus nayo ilitamba sana, eti leo unatoka Dar saa 6am na unaingia tunduma 20:00hrs, si bora nipande baiskeliMbona huyo cha mtoto, kulikuwa na ligi ya masia express Tzj 3360 matema beach Tzj 7104 , Tawaqal Tzk110 etc , hizi zilikuwa zikikutana dae mnaingia saa nane mchana ,yani kipindi cha dj show ya radio one ya kina mike mhagama ndo kinaanza
Hood ye alikuwa ana game lake la kuingia saa kumi Tunduma ,
Mkwema bus Msm 34 , nayo ilikuwa inaingia Tunduma saa kumi jioni , ikitokea Dar.
Special DedicationNi miaka ile ya 90. Ni Likungu Trans, ISUZU MV 118, TZK6150, Dar Njombe Songea. Dereva Selepion huyo wa Katikati na aliyeshika kiuno ni Juma Ndang'o. Alisumbua sana njia ya Songea - Dar. Alishawahi kuingia Songea saa 12 kasoro jioni akitokea Dar, dereva, alikuwa ni Selepion. Ilikuwa ni vigumu sana kuamini kama ISUZU inaweza kukimbia hivyo. Lakini Likungu ndiyo ilikuwa hivyo. Hatari sana, watu wa Songea hawawezi sahau hii gari.