Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,103
- 128,722
Wanabodi
JF ni ukumbi wa kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana na kusaidiana ikiwemo kuisaidia nchi yetu, taifa letu, viongozi wetu na watu wake.
Kuna watu wengi wanadhani wanamfahamu vizuri Askofu Dr. Josephat Gwajima, kama Askofu tuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, lakini kiukweli wengi hawamfahamu vizuri, Askofu Dr Gwajima, wala hawazijui nguvu zake!, huyu sio mtu wa mchezo mchezo!, sio mtu wa kawaida, huyu Askofu Dr Josephat Gwajima ni zaidi ya Mbunge, ni zaidi ya Waziri, ni zaidi hata ya Rais!.
Msikilize mwenyewe akijieleza
View: https://youtu.be/3uu59k7ExjY?si=aMrkmn76gQH3py4e
Huyu ni Mtumishi wa Bwana Mungu Aliye Hai!.
Nashauri hawa viongozi wa kiroho, wazingatiwe sana, wasipuuzwe!.
Kuna Askofu fulani, alimuamuru kiongozi fulani mkubwa tuu wa kisiasa atubu dhambi zake, na akaonya kuwa Mungu amemwambia, huyo kiongozi asipotubu, Mungu atamnanilii!, huyo kiongozi alipuuzia!, na mwisho wa siku, ni kweli alikuja kunaniliwa! na sasa ni naniliu!.
Kuna kiongozi mwingine alishauriwa na maaskofu kamsamehe kichaa fulani, huyo kiongozi akagoma!,
Hata mimi nikajitolea kumshauri humu Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo akapuuza ushauri huu!
Baada ya kupuuza ushauri huo, zilipita wiki mbili tuu!, yaani baada ya siku 14 jambo likatokea! nami nikaandika tazia Buriani Benard Membe, Umepigana Vita Vilivyo Vitakatifu, Mwendo Umeumaliza, Imani Umeitunza, Madeni Yako Yaliyobakia Karma Itakulipia!
Hivyo nashauri kwa kusisitiza, kama ni kweli Askofu Dr Josephat Gwajima , ni Mtumishi wa kweli wa Bwana Mungu Aliye Hai, kama nilivyo uliza hapa Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais
Then nashauri Askofu Dr Josephat Gwajima asipuuzwe!, tena azingatiwe kwa makini sana!.
Paskali