Mfadhili wa CCM ajiunga na CHADEMA

umeenda mbali labda utuweke wazi hawa jamazake Ponda tutawapeleka wapi kwn ni wabish i hao;
 
Lengo letu nchi hii iwe ya kikristo na bendera tutabadilisha tuweke msalaba tutafanikiwa tu bwana yesu yu pamoja nasi.

Na kulitoa jina Tanzania na kuwa Vaticania.....tukiwezehswa tunaweza kmm zn
 
endelezeni mapambano makamanda mpaka dodoma yote ikombolewe kifikra
 
Lengo letu nchi hii iwe ya kikristo na bendera tutabadilisha tuweke msalaba tutafanikiwa tu bwana yesu yu pamoja nasi.

Nimekuchunguza sana humu ndani,nimegundua kwamba wewe si MTANZANIA ndio maana kazi yako kubwa ni kupinga kila kitu,halafu acha kutanguliza udini mbele hautakusaidia katika maisha yako.
 
Lengo letu nchi hii iwe ya kikristo na bendera tutabadilisha tuweke msalaba tutafanikiwa tu bwana yesu yu pamoja nasi.
haikusaidii mkuu.... kuleta udini haikusadii asilani

just fyi, kichwa chako kuna wenye hasira watakiwekea dau

wewe unajenga sana chuki kupitia hasira zako na wakristu, na sijui kwanini uko hivyo ila mkuu amini nakuambia.... watu hawajanyamaza, wanasubiria right time,

endelea but you have been warned
 
Hii ni habari njema. Ila tutarajie TRA na polisi kuanza kumuandama mzee Shelali

Mbona Sobodo hawamwandami? Hizo ni fikra za woga ndugu yangu. Ukiona Tajiri kama huyu kaamua kuingia upinzani jua biashara zake ni safi. Wafanyabiashara wachafu ndio wanang'ang'ania CCM. Kama mtu anafanya biashara zake halali na analipa kodo vizuri TRA hawana ujanja wa kumsumbua. Inaonekana bado hujakomboleka kifikra Kamanda..

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 

wazeee kama hawa ndo wakuigwa kwani wanasoma alama za nyakati yaani safi sana wewe mzee muona mbali karibu ila njooo kwa nia njema
 
Mzee amesoma alama za nyakati kuliko hata vijana kina Nape na January! Karibu sana kamanda mzee, ya magamba yaache magamba.
 


Hongereni mkuu
 
Angalieni cdm, angalieni jamani! Mamluki hao mnaowafurahia ndo watawaliza mapemaaaaa! Changanyeni na zenu, shauri yenu!
 
Nimekuchunguza sana humu ndani,nimegundua kwamba wewe si MTANZANIA ndio maana kazi yako kubwa ni kupinga kila kitu,halafu acha kutanguliza udini mbele hautakusaidia katika maisha yako.

Ni kweli huyu jamaa hayuko sawa. Atakuwa generator(Chizi). Watu kama huyu hawaitakii mema Tanzania
 
Cdm wakiamua wanaweza! Nendeni mpaka kondoa, bahi na kwingine.maana ccm waligeuza hizo wilaya shamba la bibi!
 
kamanda nimekupata,hakika cdm ndicho mkombozi wa watz kwa sasa na hasa tuendako umeona na kusikia waliyoyafanya hawa magamba!!!!!!!!!!??????????kwao bila rushwa hawana cha ushindi,sasa ndugu yangu tujipange vema vijana wote tz tukipe ushindi chama chetu ambacho ndicho tegemeo la watz wote m4c daima.chakufanya kwa sasa ni kuchangia ili makamanda wetu wasimike matawi nchi nzima kuanzia ngazi ya kitongoji hadi taifa:target:
 
Du huyu mzee ana pesa, amekifadhili chama tangu mwaka wangu wa kuzaliwa? Sasa ataendelea kukifadhili na chadema? Tunamkaribisha kwa mikono miwili.

Tehe tehe tehe, nikiangalia avata halafu unasema umezaliwa 83!!!, poa tupo pamoja Kamanda, tutafika tu, na nyinyiem tutaing'atua isipotaka kung'atuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…