Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
Nakutakia siku njema.
Kulima tumelima wote, nimepalilia mie, nimeambulia magunzi. hili ni somo tosha kwenye mapenzi never kujitoa 100%. ni hilo tu
Pole....
Inaumiza ila inasahaulika..take heart,be strong..
Alijitoa akatoa kila kitu jamaa akala kisha kasepa.anahimiza muwe mnatoa upande nusu ubaki.
kama wewe na mkeo
Pole. Jipe moyo kuwa mavuno hayakuwa yako, labda Mungu hakupenda ule mavuno yale haba and amekuandalia green pasture somewhere.
Maisha lazima yaendelee, futa kumbukumbu mbaya n move on.
Naandika hapa huku machozi yananilenga coz I know how it hurts.....!
Nakuja kukufuta machozi ila usiache kulia mpaka nifike.
funguka zaid dadangu labda kupitia kisa chako kuna watu watajifunza.....
Pole sana. Ila hizo ni tabia za watu wachache ambao uelewa wao ni mdogo kwan wakishapata mafanikio wanawasahau waliosababisha hayo mafanikio. Piga moyo konde usijali ipo siku utampata ambaye utalima / kupalilia naye na itakapofika wakati wa mavuno pia utavuna naye. Ukisikia changamoto za maisha ndio ndio kama hizo.
pole sana........Kulima tumelima wote, nimepalilia mie, nimeambulia magunzi. hili ni somo tosha kwenye mapenzi never kujitoa 100%. ni hilo tu
mmhhh Albosignathus mbona nimeshalia vya kutosha? nimemwachia Mungu tu
Basi ni pm namba zako uje nikuweke gambani! utaburudika na kusahau kwa sekunde.angalizo:nimejaliwa kuwa na mmmh kubwa ila utaipenda.