Mfadhili paka atakula panya

Sista

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
3,208
Reaction score
1,038
Kulima tumelima wote, nimepalilia mie, nimeambulia magunzi. hili ni somo tosha kwenye mapenzi never kujitoa 100%. ni hilo tu
 
Pole Sista, forget and move forward hizo ni life challenges. Ushauri wangu usijeku-generalize hio experience itakuletea shida. Pole
 
Pole. Jipe moyo kuwa mavuno hayakuwa yako, labda Mungu hakupenda ule mavuno yale haba and amekuandalia green pasture somewhere.
Maisha lazima yaendelee, futa kumbukumbu mbaya n move on.
Naandika hapa huku machozi yananilenga coz I know how it hurts.....!
 

Nakuja kukufuta machozi ila usiache kulia mpaka nifike.
 
Pole Sista, forget and move forward hizo ni life challenges. Ushauri wangu usijeku-generalize hio experience itakuletea shida. Pole
Mmmh kaka yakikutokea haya ni ngumu kusahau na kurudia tena. Kuanza upya si mchezo ndugu yangu wakati unamuona mwezio mlochuma wote anapeta. Full kubana uchumi baada ya hapo
 
Nakusoma sana ndugu yangu...
 
Kulima tumelima wote, nimepalilia mie, nimeambulia magunzi. hili ni somo tosha kwenye mapenzi never kujitoa 100%. ni hilo tu

hasara ni kawaida katika kilimo, subiri msimu ujao uwe makini zaidi dada!
 
ningekuzidishia kilio cha raha na sio cha machungu.Sema tu najua unanihofia tangu usikie nina jembe kubwa.

Ushaanza mambo yako, shida yako nikuchambe uzi wa watu ufungwe.
Si unajua me ndo kiboko yako?
 
funguka zaid dadangu labda kupitia kisa chako kuna watu watajifunza.....
 
Pole sana. Ila hizo ni tabia za watu wachache ambao uelewa wao ni mdogo kwan wakishapata mafanikio wanawasahau waliosababisha hayo mafanikio. Piga moyo konde usijali ipo siku utampata ambaye utalima / kupalilia naye na itakapofika wakati wa mavuno pia utavuna naye. Ukisikia changamoto za maisha ndio ndio kama hizo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…