MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
Red: Kwa hiyo unanithibitishia kwamba penye urembo kuna ujinga ndani yake?? I mean kila mwanamke anayeusaka urembo basi anajipeleka ujingani bila kupenda
Pink: unajua homons za kike na kiume ziko tofauti hata uumbikaji wake. ukiniletea skeletones full naweza kukuambia ipi ya kike na ipi ya kiume. hivyo basi uumbikaji wa makalio nao hutegemea structure ya mifupa na mshikizo wa misuli. kwa hiyo mwanamume kuota híps na makalio makubwa ni nadra na si common kutokana na maumbile. ila kwa mdada bwana.... haha utakoma mwenyewe. Sema UNATAKA majaribio?
Wakulazimishwa nani?wewe msanii!!! hata kwa tingatiga haunishawishi wewe ni mzee wa kuji express your self hauwezi ngoja ulazimishwe mazee, uliikula hiyo kitu kwa ridhaa yako....LOFL!!!!
Hivi Mwana vp ukikumbana na jamaa wa mfadhaiko tena mbele kwenye mewata itakuwaje?
Wakinadada nao uwa wanapata sijui ndo tuuite mfadhaiko au nini.Naweza kukupa mfano,nilipokuwa chuo nilikuwa nakaa mabibo na sikuwa na tabia ya kukiexpose kifua changu hasa pakiwa pana mabinti,tukiwa wenyewe uwa ninajiachia tuu.Nikijua tuko wenyewe,siku hiyo nilikuwa kifua wazi.Kumbe kuna binti tulikuwa tukisoma nae alikuwa amekuja chumba cha jirani,nikawa nimeenda katika chumba hicho nikagonga.Yeye ndo alikuwa mlangoni,si ndo kuniona kifua wazi,alipoteza kama sekunde ishirini hivi kisha akaanza kujifaraagua.Hapo ndipo nilipogundua kumbe nao uwa wanapatwa na mshtuko wakiziona baadhi ya sehemu za mwili za mwanaume.Umejirudia upya ndani ya bongo. Hawa wanawake wanajifanya kumaindi kudandiwa ndani ya daladala, mbona faraghani wanadandiwa, tena bila nguo? Ingekuwa vipi kama ndio wanawake wangekuwa na mfadhaiko wakawa wanajisugulisha kwa wanaume ndani ya daladala. Wanaume wangemaindi na kuripoti polisi?
. Mungu naomba apitishie mbali. Fidel haya mambo bwana si ya kuyafikiria hata. Muda si mrefu wahanga wataanza kuwa wanaume mara jibaba umepanga foleni ya Luku afu mwenzio anamalizia nyuma yako duh....
Yeye ndo alikuwa mlangoni,si ndo kuniona kifua wazi,alipoteza kama sekunde ishirini hivi kisha akaanza kujifaraagua
hahahaha kama umejaliwa nyuma lazima watu wanakulia timing usipande daladala uwe unakodi bajaj tu mpaka nyumbani maana unaweza ukashangaa unarudi home mzee anakuta gauni au sketi imelowa duh hata kuelewa hata umueleweshe vp na akiona vitu vinateleza unarudi kwenu na mfuko wa rambo.
Mkuu nini kiliendelea hukumpindua jamaa au hakukutafuta?
Binafsi kwa jinsi alivyo na maneno yake,msanii anaonekana ni mtu wa zantel tuu,uwa hataki zaidi.Angekuwa fidel,ningekubali.
Mwanajamii unaposema Thanx inamaana umekubali majaribio???
nibip nitakutwangia walah
FIDEL
hawa watwana wanakuonamtulivu wakati sooote hapa tukisikia harufu ya mboji tunajua mzee wa mbolea umeingia jamvini.
Hivi makalio yetu yanawazingua nini zaidi?
Hivi makalio yetu yanawazingua nini zaidi?
Hivi makalio yetu yanawazingua nini zaidi?
Shost hebu waulize watujuze haikawii mtu kukuvua nguo pasipo we kujua. Watembea barabarani kumbe jitu linakukodolea macho wesereee lako huku likiwaza mambo ya faragha ah. Wana mana hawa? (Joke)