Mfadhaiko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfadhaiko

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Raia Fulani, Apr 21, 2009.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Umejirudia upya ndani ya bongo. Hawa wanawake wanajifanya kumaindi kudandiwa ndani ya daladala, mbona faraghani wanadandiwa, tena bila nguo? Ingekuwa vipi kama ndio wanawake wangekuwa na mfadhaiko wakawa wanajisugulisha kwa wanaume ndani ya daladala. Wanaume wangemaindi na kuripoti polisi?
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hawana visugulio lakini.........
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kwa kutumia makalio
   
 4. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Wangejisugulisha kwenye visugulio mkuu...
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mziwanda na Msanii.. you made my day.
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Hii ndo JF mkuu. usikonde wala usijibane
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Lakini kwa mawazo yangu mbona wengi wamekuwa wakijisugulisha indirectly wakuu? Kwani kule kuvaa vimin, nguo za kubana, kutembea huku wakitikisa majaaliwa si ndo kujisugulisha kwenyewe wakuu au nakosea?
   
 8. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  hapo ni mstari mmoja ktk msambamba ila kwa kuongezea ni kwamba haya madawa wanayotumia siku hizi utachoka. huku mitaani au uswazi kuna vijiduka na maduka ambayo yanauza madawa ya kunenepesha makalio, kuongeza hips,. kuna moja nilipigwa na butwaa pale muuzaji aliponielekeza dawa fulania ambayo ukijipaka unakuwa nyegezi kinoma yaani unakuwa na hamu ya kuingia vitani kwa ari kubwa. kuna dawa nyingi sana. nasema hivyo kwa kuwa nina ushahidi na nimeziona kwa macho. hizi dawa si mitishamba kama tulivyozoea mkuyati bali zinatoka huko majuu zikiwa well packed (export to afrika). Sasa tegemea baada ya miaka michache ijayo vijana wengi watakuwa wamepoteza nguvu zao halisi kwa kutegemea haya madawa ya kingono-ngono.
  hivyo kwa taarifa yenu mnaopenda majaaliwa ya uani fahamuni kwamba makalio mengi muyaonayo bongo ni feki. Pata wowowo halisi kutoka bushi ndo ulilete town.
  kudadadadeki
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Red: ... kuna chupi spesheli ambazo zimeshonwa kwa masponji maeneo ya makalioni na mahips. Yaani wauziwa mbuzi kwenye gunia.

  Blue; Yalaaaaaaaah so kina dada twawezapenda mjamaa kutokana na nguvu za bandia!! Mkuu hapa kunanifanya niamini habari ya rafiki yangu aliyeolewa na mwanaume ambaye walikuwa wanakaa mbalimbali kwa muda mrefu (kukutana kwao ni mara chache kwa miezi) ila baada ya kuanza kuishi pamoja ndipo rafiki yangu akaanza kulalamika kuwa jamaa 'hawezi' nikawa najiuliza kwani tangu walipoanza kuwa wote hakugundua hilo?

  Green: Mkuu wawezamleta wa bush akajanjaruka akishapata mashostito mjini. The same with kujikoboa rangi.
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  hiyo ya chupi za playfom ni ya kizamani. siku hizi mwanamke anajipaka gelly fulani hivi anaumuka kama kitimoto. mtoto anakuwa kama amekalia hamira vile, wataalam wanaita anajipaka mafuta ya nguruwe.

  Ila najiuliza, kwa nini mwanamke ili ajione anamvuto na kuvutia hulirutubisha KALIO lake?? je anakuwa anajua lina matumizi muruwa ktk upashanaji habari ops upashanaji joto?
  Ila nyingine kuna stories nilipewa na dada mmoja baada ya kunilazimisha saaana kumtendea kinyume akisema kuwa anataka wowowo lake likue na kuwa lain ndo maana ameamua kulitumia kama maingilio.
   
 11. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Wakulazimishwa nani?wewe msanii!!! hata kwa tingatiga haunishawishi wewe ni mzee wa kuji express your self hauwezi ngoja ulazimishwe mazee, uliikula hiyo kitu kwa ridhaa yako....LOFL!!!!
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Duh kuna dada nilikuwa naishi nae nyumba moja jamaa ake alimwambia ana penda mewata aka macowberry aka mtindi mkubwa dada si akameza dawa hizo za kuongeza dah mtume! yule dada ana mzigo wa mewata kifuani watoto wa mitaani wanamwita ana kandambili aibu watu wanamcheka sana wanadai badala ya kuongeza makalio yeye anaongeza mewata..
   
 13. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #13
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Red: Mkuu ukichunguza saaaaan utagundua yote haya yanayofanywa na baadhi ya kina dada mf. kujichubua, kutafuta makalio, kuvaa nguo fupi n.k. ni ninyi kina kaka. Maana wengi wanafanya yale yanayowapendeza ninyi. So wanadada wengi huishi according to men's perspective. Mf. kuna kipindi wanaume wengi walikuwa wanadefine mwanamke mzuri ni yule aliye mweupe so watu wakaanza kuutafuta wa madukani. Ikaja mambo ya vichuguu, wowowo, wesereee e.t.c. so ndo wanayatafuta hivyo.

  Pink: mh kwa wenye uzoefu tujuzeni njia hii inafanya hayo maajabu?. Mbona mashoga (wa kume) hawana hayo makalio makubwa au?
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Siku hizi kuna wanaume wengi tu nao wanajichubua na siyo mashoga na wala siyo wazaire.Nao wanatafuta weupe wa nini
   
 15. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #15
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hao tena WoS sijui watakuwa wanatafuta nini ila ninavyojua ni kuwa mwanaume akijichubua haeleweki vizuri mbele ya jamii na huanza kutizamwa kwa jicho la tatu si kama wanawake
   
 16. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  MJ1
  Nadhani tumefikia mahali ambapo sisi binadamu hatujui tunataka nini wala tunaelekea wapi..si wanaume , si wanawake! Tuombe Mola atunusuru na gadhabu yake.
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wewe hili suala unadhani ni tatizo au si tatizo?
   
 18. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Red: Kwa hiyo unanithibitishia kwamba penye urembo kuna ujinga ndani yake?? I mean kila mwanamke anayeusaka urembo basi anajipeleka ujingani bila kupenda

  Pink: unajua homons za kike na kiume ziko tofauti hata uumbikaji wake. ukiniletea skeletones full naweza kukuambia ipi ya kike na ipi ya kiume. hivyo basi uumbikaji wa makalio nao hutegemea structure ya mifupa na mshikizo wa misuli. kwa hiyo mwanamume kuota híps na makalio makubwa ni nadra na si common kutokana na maumbile. ila kwa mdada bwana.... haha utakoma mwenyewe. Sema UNATAKA majaribio?
   
 19. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #19
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  ....ah mkuu wewe wasema.....
  hehehe lakinimimi sio masanilo au inFidel
   
 20. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #20
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kabisa Sisy
  Yaani dunia imegeuka juu chini chini juu yaani ni mauzauza tu.
   
Loading...