Bata Boy Official
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 259
- 308
Ati unauzia malaika ama? 😂Nakodisha karume 30k kuanzia saa nane usiku mpaka saa Moja asubuhi
Vizuri. Nashukuru kwa mawazo yako.Nakodisha karume 30k kuanzia saa nane usiku mpaka saa Moja asubuhi
Hapana wale wanaochana mabaro ya viatu vya mtumbaAti unauzia malaika ama? 😂
Mimi nataka kuuza nguo za watotoHapana wale wanaochana mabaro ya viatu vya mtumba
Unacha baro auMimi nataka kuuza nguo za watoto
NdioUnacha baro au
30k kwa masaa? ni serious hii mkuu?Nakodisha Karume 30k kuanzia saa nane usiku mpaka saa Moja asubuhi
Yaa serious mkuu kwa wachana maballow ya viatu wanaelewa30k kwa masaa? ni serious hii mkuu?
Unaweza kutuelewesha iyo kuchana baro inamaanisha nini?Yaa serious mkuu kwa wachana maballow ya viatu wanaelewa
Kuaza viatu kwa vya mtumba kwa Bei ya jumla asubuhi.Unaweza kutuelewesha iyo kuchana baro inamaanisha nini?
Sasa mfano nmenunua baro la nguo za watoto...nikitaka kuchana baro inamaana ntaziuza vipi? Kumi kumi? Au iyo iyo jumla unamaanisha baro zima?Kuaza viatu kwa vya mtumba kwa Bei ya jumla asubuhi.
Unauza kwa mnaada ila nguo kauzie soko la ilalaSasa mfano nmenunua baro la nguo za watoto...nikitaka kuchana baro inamaana ntaziuza vipi? Kumi kumi? Au iyo iyo jumla unamaanisha baro zima?
Apa sasa nmekuelewa. Shukrani. Ilala kwenyewe meza bei ipojee?Unauza kwa mnaada ila nguo kauzie soko la ilala
Sina uzoefu nako sana inabidi uende physical ukafanye tafitiApa sasa nmekuelewa. Shukrani. Ilala kwenyewe meza bei ipojee?
PoaSina uzoefu nako sana inabidi uende physical ukafanye tafiti
KaribuNaomba nikufate pm